Chuma2
Senior Member
- Jun 18, 2014
- 159
- 64
Kavaa sketi na blauzi no maana nikajua ni she..!
hehehehehe! kumbe, kwel wew n chunguz.
Kavaa sketi na blauzi no maana nikajua ni she..!
niko tayari nina miaka 18 nina masters ya uchumi
my dia nawe huko huku makubwaa
Aisee sina hamu na hawa watu wa kutafuta mwenza humu ndani. Mi kweli nahitaji mume, sasa niluvokuta mtu katoa tangazo humu nkasema hebu nijaribu bahati yangu... kweli nikampm, akarespond vizuriiiii... thanx Lord ckuanza na makeke maana nngechanwaje viwembeeeeeee... mmmh sasa baada ya cku mbili, c nkapigiwa cm na mdada alojitambulisha kama mkeweeeeeee.. bahati nzuri nlikuwa nkituma msg namuita bro hiyo ndo pona pona yangu.
Sasa yule mama alivonipigia aliniuliza ivi wewee unajua unachati na mume wa mtuuuu????? nkawa mpole na kumwambia apitie msg zote aone km kuna za mapenzi, jamani neno kaka na kuwa na subra kuliniokoa maaana ikabidi bi mkubwa ashushe jazba na kuniomba msamaha na kudai eti alikosea nambaaa..... Pipoz mnaotafuta wenza humu ndan muwe serious, ni kweli wengine tinahitaji mume asa kwa staili ya kudanganya sio vizuriiiiii tutasababishiana matatizo humuuuuuu
Unamaanisha mimi bado natafuta fursa wakati najua imeshapatikana kwako?
niko tayari nina miaka 18 nina masters ya uchumi
Hapa nina CV kibao..nafanya screening..labda wikiendi hii ntakuita kwenye written interview..!
Hapa nina CV kibao..nafanya screening..labda wikiendi hii ntakuita kwenye written interview..![/QUOTE
Sawa naamini ntafaulu na oral pia ila ya vitendo nahis ntafeli 🙄
Ndio bestito..naangalia wasinipeperushie bestito wangu ladyfurahia..! Vijana wa siku hizi kazi yao kufunua kila sketi...aaaah
Sawa naamini ntafaulu na oral pia ila ya vitendo nahis ntafeli 🙄
Bestito..angalia usijepaliwa na chakula.hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa umenifurahishaje bestito
mpaka hapa job wananishangaa wanasema nacheka na keyboard
Ukifaulu ORAL hakika nitakupitisha...tatizo lako we hupendi oral interviews. ORAL OS A MUST..hahaha!
Ndio bestito..naangalia wasinipeperushie bestito wangu ladyfurahia..! Vijana wa siku hizi kazi yao kufunua kila sketi...aaaah