- Thread starter
- #41
Tulia Dogo umefiwa juzi hata hujamaliza machungu ya mke Leo Tangazo ubaoni!!!!!!!!!
mwaka jana mwez wa kumi kumbe n juz!!! daa sikujua bro ndo hvyo tangazo limesharuka hewan, ungenishaur kbla cjatangaza!!!
Tulia Dogo umefiwa juzi hata hujamaliza machungu ya mke Leo Tangazo ubaoni!!!!!!!!!
Bestito..angalia usijepaliwa na chakula.
Aisee sina hamu na hawa watu wa kutafuta mwenza humu ndani. Mi kweli nahitaji mume, sasa niluvokuta mtu katoa tangazo humu nkasema hebu nijaribu bahati yangu... kweli nikampm, akarespond vizuriiiii... thanx Lord ckuanza na makeke maana nngechanwaje viwembeeeeeee... mmmh sasa baada ya cku mbili, c nkapigiwa cm na mdada alojitambulisha kama mkeweeeeeee.. bahati nzuri nlikuwa nkituma msg namuita bro hiyo ndo pona pona yangu.
Sasa yule mama alivonipigia aliniuliza ivi wewee unajua unachati na mume wa mtuuuu????? nkawa mpole na kumwambia apitie msg zote aone km kuna za mapenzi, jamani neno kaka na kuwa na subra kuliniokoa maaana ikabidi bi mkubwa ashushe jazba na kuniomba msamaha na kudai eti alikosea nambaaa..... Pipoz mnaotafuta wenza humu ndan muwe serious, ni kweli wengine tinahitaji mume asa kwa staili ya kudanganya sio vizuriiiiii tutasababishiana matatizo humuuuuuu
siwezi kupaliwa huku nikiona avatar yako ndo naona chakula kitamu sana
Nifate pm
niko tayari nina miaka 18 nina masters ya uchumi
wa ndgu tusijisahau kuongea mengne turud kwenye mada plz!
Aisee sina hamu na hawa watu wa kutafuta mwenza humu ndani. Mi kweli nahitaji mume, sasa niluvokuta mtu katoa tangazo humu nkasema hebu nijaribu bahati yangu... kweli nikampm, akarespond vizuriiiii... thanx Lord ckuanza na makeke maana nngechanwaje viwembeeeeeee... mmmh sasa baada ya cku mbili, c nkapigiwa cm na mdada alojitambulisha kama mkeweeeeeee.. bahati nzuri nlikuwa nkituma msg namuita bro hiyo ndo pona pona yangu.
Sasa yule mama alivonipigia aliniuliza ivi wewee unajua unachati na mume wa mtuuuu????? nkawa mpole na kumwambia apitie msg zote aone km kuna za mapenzi, jamani neno kaka na kuwa na subra kuliniokoa maaana ikabidi bi mkubwa ashushe jazba na kuniomba msamaha na kudai eti alikosea nambaaa..... Pipoz mnaotafuta wenza humu ndan muwe serious, ni kweli wengine tinahitaji mume asa kwa staili ya kudanganya sio vizuriiiiii tutasababishiana matatizo humuuuuuu
Rudin kwenye mada bac
Sorry kwa kuchakachua uzi Wako kiongozi
Pole sana
Pole sana
pole unampa nan?
Sorry kwa kuchakachua uzi Wako kiongozi
Mweeeh....
Pole sana
nimengoja pm kwel hata hawaj sijui vgzo ndyo tatazo!