- Thread starter
- #101
ina maana hawajaja kbsa pm? nakama wamekuja n wangap tupe mrejesho.
wamekuja bt vgezo vimekosekana,
ina maana hawajaja kbsa pm? nakama wamekuja n wangap tupe mrejesho.
wamekuja bt vgezo vimekosekana,
Mmmh!!!hapa JF hupati kitu usitudanganye.. Ungeweka picha yako labda kidogo.
penye imani panamajbu yote, so naamini ntampata iwe jf or wherever bt ntampata tu.
uliyoambiwa usiyapuuze otherwise utajuta.
ukwel n kwamba ktk kufikia soln ya hitaj lolote pana changamoto zake, hata kwenye hili pana changamoto nyng bt kwakuwa najua kukosea kwangu kunaweza nigharimu pakubwa that's why umanik na mazingatio ya vigezo yanamata pakubwa. mliotendwa mcje na historia zenu, mikakat na mipango yenu haifanan na yakwangu na silazma yaliyowapa nyie nam yanipate pia.
jipe moyo mwaya maana hakuna lisilowekana penye imani!
jipe moyo mwaya maana hakuna lisilowekana penye imani!