King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,985
Wewe mtu wa ushauri hatari, nimekumisi. Usipotee sana
Tumekusikia Mullah Delmonte, Taliban wa Bongo.
Tumekusikia Mullah Delmonte, Taliban wa Bongo.
Mm kwangu tatizo kubwa ni kuletewa invoice
Kho kho kho,nimepaliwa na mate Mkuu...............Mwanamke tako tabia ntakubadilisha
Tupo pamoja mkuu, Nyumba ni choo bnMwanamke tako tabia ntakubadilisha
Kazi mama, kazi.Wewe mtu wa ushauri hatari, nimekumisi. Usipotee sana
Yes no one is perfect under the sun ila baadhi ya tabia alizo zi mention mleta mada sio nzuri kwa mwanamke anayejielewa hasa hzo sijui kuvuta shisha, ulevi uliopindukia, mara fiki wengi wasio na faida wala tija wa nini hao. Kuna mapunguffu ya kawaida yanavulika ila baadhi sio mazuri hasa kwa mwataka kujenga familia boraKatika ulimwengu wa roho na mwili ni vigumu kumkuta au kumpata mtu mwenye kukidhi matakwa yote ya nafsi yako kwani hakuna mkamilifu chini ya jua.....katika misingi ya kuwa hakuna mkamilifu ndio tunatakiwa kuvumiliana...kuheshimiana na pale tunapojikwaa bali tunapaswa kuelekezana.....inawezekana huyo unayemuepuka wa tabia hizo hajui madhara na hasara ya anayoyafanya na pengine angepata habari au taarifa za madhara au hasara za anayoyafanya pengine ungesaidia kubadili maisha yake badala ya kumkwepa na kumshusha thamani.....hata wewe umekuwa hivyo kutokana na kuwa katika mikono salama kimaadili......
It begin with you....
Kama roho haijamdondokea sawa, ila kama roho itakuwa imemdondokea hautayaona hayoooo!!1) Mwanamke anavuta shisha au sigara: unamkuta most of the time yupo kwenye vile vijiwe vyao vya kuvuta halafu wahuni kibao wamejaa mule, sometime hata drugs wanachanganya mule kwenye kile kibobo chao. Aisee dada zangu mnaotumia halafu wengine mnapost mpaka mtandaoni kama vile mnakula chakula mimi nimesha wa disqualify.
2) Mwanamke anapenda kupiga picha angali zaidi ya 90% ya body yake ipo wazi halafu anapost kwenye mtandao wa kijamii huyo hafai. Nimesema 90% ipo wazi ina maana 10% iliyofichwa na nguo ni hapo katikati na hapa juu sehemu nyingine zote wazi. Hapo utanisamee dada.
3) Kuna wengine unakuta wamejaliwa ila wakitembea utasema wanacheza 'full kujitingisha' mimi nikiona hivo ni first disqualification.
4) Tabia ya kujiachia sanaaa kwenye maeneo ya starehe kama club, beach na sehemu kama hizo za entartainment. Kuna ile kujiachia kawaida hiyo inaruhusiwa ila kuna ile unakuta demu every time anakuwa anazungumzia hayo maeneo zaidi ya kuzungumzia mambo yenye faida, huyo hafai. Unakuta girl most of the time ata kwenye picha zake yeye ni mtu wa ku relax tu na sun glass kubwaa halafu amelala kwenye kale ka kitanda cha beach.
5) Mwanamke mwenye marafiki wengi, unakuta girl ana marafiki kama 10 wa karibu. Labda kama ni mwanafunzi ila kama yupo uraiani mi naona kama ni tatizo. Naona kama itakuwa rais sana kumshawishi na kumbadilisha tabia. Kwa hiyo nikiona hivo ni 1st disqualification.
6) Mwanamke mbishi,
Kwa sababu jamii kubwa ya Tanzania imelelewa kimfumo dume kumuona mwanamke kiumbe dhaifu anayefanya makosa tu wao wanaume ni malaika, pia udhaifu wa wanaume huku MMU ila mleta mada kaondika la maana pia baadhi ya wanaume wana tabia chafu nyingi tu sema wanawake hawalalamiki na huwasitiri waume kwa mengi.Sometimes I fail to understand people here! Why kila ck ni Wanawake tu mnawazungumzia? Mbona wako wanaume Kibao wenye same tabia km hizo???! Lkn sion Wanawake wakija Kwa hii jukwaa nakuwadis!
Ifike wakat tuwaheshimu Wanawake! Kwan hata ukukuta mwanamke anajiuza mnunuz wake ni Nani ??? Je sio wanaume
Mimi hao ndio nawapenda, maana ndio wenye kujua maisha....