Mwanamke akiwa na tabia hizi, kwangu ni first disqualification

Mwanamke akiwa na tabia hizi, kwangu ni first disqualification

1) Mwanamke anavuta shisha au sigara: unamkuta most of the time yupo kwenye vile vijiwe vyao vya kuvuta halafu wahuni kibao wamejaa mule, sometime hata drugs wanachanganya mule kwenye kile kibobo chao. Aisee dada zangu mnaotumia halafu wengine mnapost mpaka mtandaoni kama vile mnakula chakula mimi nimesha wa disqualify.

2) Mwanamke anapenda kupiga picha angali zaidi ya 90% ya body yake ipo wazi halafu anapost kwenye mtandao wa kijamii huyo hafai. Nimesema 90% ipo wazi ina maana 10% iliyofichwa na nguo ni hapo katikati na hapa juu sehemu nyingine zote wazi. Hapo utanisamee dada.

3) Kuna wengine unakuta wamejaliwa ila wakitembea utasema wanacheza 'full kujitingisha' mimi nikiona hivo ni first disqualification.

4) Tabia ya kujiachia sanaaa kwenye maeneo ya starehe kama club, beach na sehemu kama hizo za entartainment. Kuna ile kujiachia kawaida hiyo inaruhusiwa ila kuna ile unakuta demu every time anakuwa anazungumzia hayo maeneo zaidi ya kuzungumzia mambo yenye faida, huyo hafai. Unakuta girl most of the time ata kwenye picha zake yeye ni mtu wa ku relax tu na sun glass kubwaa halafu amelala kwenye kale ka kitanda cha beach.

5) Mwanamke mwenye marafiki wengi, unakuta girl ana marafiki kama 10 wa karibu. Labda kama ni mwanafunzi ila kama yupo uraiani mi naona kama ni tatizo. Naona kama itakuwa rais sana kumshawishi na kumbadilisha tabia. Kwa hiyo nikiona hivo ni 1st disqualification.

6) Mwanamke mbishi,
So what
 
Tena mabinti wa siku hawajui hata kuficha makucha wiki tu unamjua tabia zake zote, Mimi binafsi sipendi mwanamke wa Maclub club, Mavurugu na nikikuona tu upo na hizo interest nagedua then Ndukiii.....!!

Shukuru mtu anaejionyesha leo leo ili kama hupendi mtu wa aina yake umuache leo leo, badala ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia unakuja gundua umenunua chui ushachelewa.
 
Namba 6 ni fupi lakin ina maana sana, mwanamke mbishi simuezi kabisa sana sana atasababisha nimpe likizo isiyo na malipo
ha ha ha ha ha ha ha ha ...............kwani huwa unamlipaga likizo zingine?
 
Mimi vyoooote sawa ila hapo kwenye 6 tu ndio umeharibu.
Sio mbishi katika kila kitu ila huwa nasimamia katika kile ninachokiamini.
Sasa kama huo ni ubishi basi mimi ni MBISHI kwelikweli.
 
Back
Top Bottom