Da Asha humjamsoma vizuri mtoa mada. Yeye amesema kama mwanamke amekupenda hata kama utamwambia kuwa una mtu lakini bado utakuta anang'ang'ania na hii ni kweli (talking from experience). Na huwa inakuwa mbaya sana ukikuta umependwa halafu wewe wala haupo (and this works both ways, japo wanawake huwa inawasumbua zaidi kuliko wanaume). Kwa upande mwingine kwa wale wanaume wanao-take advantage kwa kweli hata mimi siwakubali kabisa na wanachokifanya sio kizuri kabisaaaaaaaaa. Otherwise mwanamke akikupenda halafu ukakuta wewe hujampenda kiviiiiiile huwa inakuwa inaboa saa ingine.