Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,840
Miaka michache nyuma tulianzisha kikundi cha sanaa ya uigizaji mtaani kwetu.
Mimi ndio nilitoa hilo wazo na kuwashirikisha vijana wenzangu ambao niliona wanaweza kufanya sanaa ya maigizo. Nilitoa hilo wazo baada ya kuwa nimeacha kufanya mazoezi na kikundi cha MTWARA SUPER FILM, kikundi maarufu cha maigizo mkoani mtwara. baada ya muda mchache tu tulipokea muitikio mkubwa sana wa watu wa rika na jinsia tofauti kutaka kujiunga na kikundi chetu.
Kikundi hakikuwa na malengo makubwa sana katika kushuti filamu, bali kufanya mazoezi ya sanaa kama burudani tu kwa wanaopenda lakini pia kucheza shoo za majukwaani pale zinapotokea.
Wakati tunaanza tuliweka sheria kuwa mwana kikundi hapashwi kuwa na mahusiano ya mapenzi na mwanakikundi mwingine.
Tulijua wazi kuwa hii ni ngumu kutekelezeka lakini tukifanya hivo ili kupunguza mazoea na mzaha mwingi kwenye kikundi.
Tukapanga uongozi.
M/kiti na katibu.
Mwalimu/muongozaji wa mazoezi.
Nilikwepa kila cheo ili kukwepa mazingira ya kujipa u-father lakini pia kuwapa ukubwa wenzangu ili wawe na hamasa maana mimi ndiyo nilikuwa muhitaji mkubwa wa jambo hilo (Hadi leo nafanya sanaa)
PICHA LENYEWE LINAANZA HAPA SASA.
Siku moja wakati nafika tizi na wanangu nikamuona mdada ambae tulikuwa tunamfahamu akiwa na wadada wawili wa kwenye kikundi chetu.
Dada huyu tutamwita HANIFA.
Hanifa ni mdada anaeishi mtaa wa tatu kutoka mtaani kwetu, kwa muda huo alikuwa na kama miaka 20 hivi ambapo mimi namzidi umri kwa miaka michache.
Japo wengi tuna mfahamu lakini hakuna mtu ambae aliwahi kuwa na mazoea nae kabla zaidi ya Dada mmoja miongoni mwa wale wawili aliokuwa ameketi nao, dada huyo TUtamwita JOJO umri 25.
Muda wa kuanza mazoezi ukawadia tukaanza na mazoezi ya kukimbia na baadae tukarudi kujipanga katika mistari (Mazoezi tulikuwa tunafanya jioni katika eneo la shule)
Jojo akaomba kuongea na Mwalimu, kisha akamtambulisha uwepo wa Hanifa na kumwambia ameomba kujiunga na Group na siku hiyo baada ya matizi angechukua fomu na kuijaza, (kuchukua fomu ilikuwa ni Tsh. 2000.)
Hivyo yeye Jojo ana muombea nafasi awe mshiriki wa mazoezi kwa siku hiyo.
Ticha akakubali ombi la Jojo na Hanifa akaja kuungana nasi katika matizi.
Ticha wetu umri ni 22 ila tulimpa uticha kwa sababu ni mtu mwenye misimamo mno, misimamo yake ukilinganisha na umri wake na umbo lake la ufupi inakuwa ni kama kichekesho yaani hafananii kabisa.
Basi bwana..
Tajiri kama kawaida nikajizolea point zangu pale kwa kuwachachafya wapinzani wangu katika sini bunifu siku ikapita.
TAJIRI nimechoka kuandika ngoja nipost hii niandike sehemu ya pili na ya mwisho.
Siku ya tukio binti alijifanya ana mashetani ili nimtafune.
MUENDELEZO UNAKUJA DAKIKA CHACHE, ATAKAESEMA HII NI CHAI APIKE YA KWAKE.