Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,227
- 1,389
Ni katika foleni hapa barabara Mandela kuna Tax imegota kwenye queue na mwanamke mjamzito uchungu umemkamata nashuhudia wamama wanaizingira Tax ili kumsaidia mwenzao ambaye amejifungua akielekea Amana Hosp!
haya maisha ya mwafrika kamari tupu, namlaumu huyo mama kwa kutowahi hospitali siku 2 3 kabla, nailaumu serikali kwa miundombinu isiyokidhi
bado utashangaa kina mama wanaipa ccm kura pamoja na kuwa suala la uzazi linaua kina mama kila kukicha
haya maisha ya mwafrika kamari tupu, namlaumu huyo mama kwa kutowahi hospitali siku 2 3 kabla, nailaumu serikali kwa miundombinu isiyokidhi
THIS can happen anywhere in the world,i once witnessed such occurence in geneva,kwa hiyo lawama zako kwa serikali si sahihihaya maisha ya mwafrika kamari tup siiu, namlaumu huyo mama kwa kutowahi hospitali siku 2 3 kabla, nailaumu serikali kwa miundombinu isiyokidhi
Ni katika foleni hapa barabara Mandela kuna Taxi imegota kwenye queue na mwanamke mjamzito uchungu umemkamata nashuhudia wamama wanaizingira Taxi ili kumsaidia mwenzao ambaye amejifungua akielekea Amana Hosp!
haya maisha ya mwafrika kamari tupu, namlaumu huyo mama kwa kutowahi hospitali siku 2 3 kabla, nailaumu serikali kwa miundombinu isiyokidhi
Washauri angewahi hospitalini siku 2 hadi 3 kabla ya tarehe ya kujifungua! Wewe hujui kwamba kule kuna msongamano wazazi wanalala wawiliwawili kila kitanda. Mama huyu naona alikuwa anategemea aende mara uchungu ukianza, na kama angewahi, ajifungue, ahudumie, na halafu within saa 4 thadi 7 baada ya kujifungua arudi nyumbani kwake / kwao akapumzike baada ya kumfikisha duniani mtanzania mwingine. Imekuwa bahati mbaya kajifungua kabla, ni bad timing / kakwazwa na miundo mbinu au upungufu wa umahiri wa taxi driver, all both!!!!
nampa pole sana huyo mama aliyjifunglia ndani ya taxi,kwa sasa tuliobahatika kwenda shule vizuri tumeshaona na tunahitaji mabadliko.
Wale ambao kwa bahati mbaya hawakwenda shule watajifunza kwa matukio kama hayo na mengine mengi.