Mwanamke ajifungulia kwenye Tax!

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,229
1,389
Ni katika foleni hapa barabara Mandela kuna Taxi imegota kwenye queue na mwanamke mjamzito uchungu umemkamata nashuhudia wamama wanaizingira Taxi ili kumsaidia mwenzao ambaye amejifungua akielekea Amana Hosp!
 
haya maisha ya mwafrika kamari tupu, namlaumu huyo mama kwa kutowahi hospitali siku 2 3 kabla, nailaumu serikali kwa miundombinu isiyokidhi
 
bado utashangaa kina mama wanaipa ccm kura pamoja na kuwa suala la uzazi linaua kina mama kila kukicha
 
bado utashangaa kina mama wanaipa ccm kura pamoja na kuwa suala la uzazi linaua kina mama kila kukicha

Katika hili naogopa hata kusema mengi ntaonekana sina adabu kwao! Tuyaache tu, si ni mambo ya demokrasia lakini, mwee!
 
Nampa pole sana huyo mama aliyjifunglia ndani ya taxi,kwa sasa tuliobahatika kwenda shule vizuri tumeshaona na tunahitaji mabadliko.

Wale ambao kwa bahati mbaya hawakwenda shule watajifunza kwa matukio kama hayo na mengine mengi.
 
haya maisha ya mwafrika kamari tupu, namlaumu huyo mama kwa kutowahi hospitali siku 2 3 kabla, nailaumu serikali kwa miundombinu isiyokidhi

Washauri angewahi hospitalini siku 2 hadi 3 kabla ya tarehe ya kujifungua! Wewe hujui kwamba kule kuna msongamano wazazi wanalala wawiliwawili kila kitanda. Mama huyu naona alikuwa anategemea aende mara uchungu ukianza, na kama angewahi, ajifungue, ahudumie, na halafu within saa 4 thadi 7 baada ya kujifungua arudi nyumbani kwake / kwao akapumzike baada ya kumfikisha duniani mtanzania mwingine. Imekuwa bahati mbaya kajifungua kabla, ni bad timing / kakwazwa na miundo mbinu au upungufu wa umahiri wa taxi driver, all both!!!!
 
haya maisha ya mwafrika kamari tup siiu, namlaumu huyo mama kwa kutowahi hospitali siku 2 3 kabla, nailaumu serikali kwa miundombinu isiyokidhi
THIS can happen anywhere in the world,i once witnessed such occurence in geneva,kwa hiyo lawama zako kwa serikali si sahihi
 
Ni katika foleni hapa barabara Mandela kuna Taxi imegota kwenye queue na mwanamke mjamzito uchungu umemkamata nashuhudia wamama wanaizingira Taxi ili kumsaidia mwenzao ambaye amejifungua akielekea Amana Hosp!

Mungu awalinde na kuwahifadhi, aimarishe afya ya mama na mtoto
 
haya maisha ya mwafrika kamari tupu, namlaumu huyo mama kwa kutowahi hospitali siku 2 3 kabla, nailaumu serikali kwa miundombinu isiyokidhi

unaongelea kwa mazingira ya tz (walio wengi) au ulaya ulaya?

do u thk bongo ni km ulaya au kila mtu ana uwezo wa kuangalia exactly lini atazaa?
ulaya posibo cz kila kitu kinajionyesha lakin kwa tz walio wengi tunasikilizia uchungu...mpaka uone kitu kinaanza kuchubyuta ndo unajua yap now nataka kuzaa.... ndo mana wengi tunajifungulia njian wakat tunaenda shamban,sokon au njian tu....

au ulitaka afanye km awa dada zetu wa siku izi wanaoomba appointment kwa dr...et DR NTAKUJA TAREHE 12 UNIFANYIE OPERESHEN UMTOE MTOTO...yaan apo mtu mzimaaaaaaa hana complication ata moja kisa tu HATAK ...KUPANUKE SJUI ATACHUJA....yaaan wana mawazo mabaya mabovu juu ya swala la kuzaa

SO UYU MAMA HAPASSWI KULAUMIWA BDADA....ni maisha aya ndo yanasababisha bt m sure km angekuwa ana mapesa tele..elimu ya uzaz imemjaa ahh ungemkuta agha kan one wik b4 anausubiria tu uchungu uku anakula upepo wa bahar

nawasilisha
 
Washauri angewahi hospitalini siku 2 hadi 3 kabla ya tarehe ya kujifungua! Wewe hujui kwamba kule kuna msongamano wazazi wanalala wawiliwawili kila kitanda. Mama huyu naona alikuwa anategemea aende mara uchungu ukianza, na kama angewahi, ajifungue, ahudumie, na halafu within saa 4 thadi 7 baada ya kujifungua arudi nyumbani kwake / kwao akapumzike baada ya kumfikisha duniani mtanzania mwingine. Imekuwa bahati mbaya kajifungua kabla, ni bad timing / kakwazwa na miundo mbinu au upungufu wa umahiri wa taxi driver, all both!!!!

Lawama kwa CCM, na kuwekeza kiasi kikubwa cha fedha kufadhili uchaguzi IGUNGA
 
Pole sana mama na hongera kwa kupata mtoto, Mungu awajalie afya njema.
 
nampa pole sana huyo mama aliyjifunglia ndani ya taxi,kwa sasa tuliobahatika kwenda shule vizuri tumeshaona na tunahitaji mabadliko.

Wale ambao kwa bahati mbaya hawakwenda shule watajifunza kwa matukio kama hayo na mengine mengi.

shule nzuri
zipo hapa tzii?
Manakeee mh
kayumba na pia mitala imechakachuluwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom