Mwanamke ajifungulia kwenye Tax!

Mwanamke ajifungulia kwenye Tax!

bado utashangaa kina mama wanaipa ccm kura pamoja na kuwa suala la uzazi linaua kina mama kila kukicha

Unaumwa wewe! Ulitaka CCM imjengee hospitali uani kwake. Kwani huko Amana au Mwananyamala alikochagua yeye si ni hospitali iliyojengwa na serikali. Kwa nini hakwenda kwenye zahanati nyingine za karibu za serikali ambazo zipo kule Tabata na hata maeneo ya vingunguti.
 
Back
Top Bottom