Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,473
- 757
msimchafue dada wa watu na picha duka zenu kama ukiangalia kwa umakini utaona picha imeungwa unga angalia mguu wa kulia hauendani kabisa na shape yake labda awe mlemavu
moderator please ondoa hii kitu sijaipenda
mbona ana....
Kama picha za aina hii pamoja na zile unazosema ni mbaya zaidi kaziweka kwenye profile yake sioni ubaya wa kuwekwa JF. Inavyooneka huyu mama anafurahia watu kuangalia picha zake anazoonekana kama dude dude fulani hiviNo hii picha haija ungwa ungwa ila Fide alikuwa swimming kwa rafiki yake South Africa. Hizi picha zipo kwenye profile yake face book. Mbona kuna za ajabu zaidi ya hii.....
Ila pamoja na hayo, si vizuri kuchukua picha kama hii from Fide's profile na kumuweka FJ. Imagine wewe ndo ungekuwa Fide au ni dada yako anafanyiwa hivi?? plz plz live tumsitiri dada yetu kidogo.
mbona ana....
msimchafue dada wa watu na picha duka zenu kama ukiangalia kwa umakini utaona picha imeungwa unga angalia mguu wa kulia hauendani kabisa na shape yake labda awe mlemavu
moderator please ondoa hii kitu sijaipenda
Kama picha za aina hii pamoja na zile unazosema ni mbaya zaidi kaziweka kwenye profile yake sioni ubaya wa kuwekwa JF. Inavyooneka huyu mama anafurahia watu kuangalia picha zake anazoonekana kama dude dude fulani hivi
Umemuomba idhini ya kutoa hii picha?
Huku tuendako si kwema, picha zanamna hii mkuu zilifaa kule ze unini walikofungiwa!