Mwanakijiji na Uislamu wa TAA/TANU mpaka CCM

I dare to say, kuna watu hata kama walikwenda shule haijawasaidia sana, makala aliyoitoa MMK, ilijaribu kuainisha, kulinganisha na baadae kuweka bayana yale ambayo watu wataanza kujiuliza, kama CDM inadaiwa kuwa ya wachaga na wakristo kwa hoja tu eti kwasababu waanzilishi ni Christians na watu kutoka kilimanjaro, the same persons wanaweza kujiuliza swali hilo hilo juu ya vyama vingine, kama CCM, CUF NCCR-Mageuzi etc. Hapa kipi ambacho hakieleweki...kwanini watu tunapenda kufikiri ndani ya box na si nje? Unapokuwa na watu wa jinsi au aina ya MALARIA SUGU.....Ambao siku zote ukifuatilia post zao wanaongea upuuzi tu, na hakuna unachoweza kuambulia matokeo yake yatakuwa haya. Kila kinachojadilia au kuhojia kinapokuna na neno " Islam" ni negativity mwanzo-Mwisho.

Angalizo: Funguke viumbe mliopumbazika kwa ujinga wa watala wenu. Mnashindwa kujadili kwanini maisha yamekuwa magumu, nini source ya hayo yote tunaangalia upuuzi wa nanma hii..."damn". Jengeni hoja zitakazo mkomboa mtanzania na si habari ya wewe islam wewe christian, yatatufikisha wapi haya.
Wewe the so called Malaria Sugu, unatibu hospital ile ile ambayo haina madaktari, unapeleka watoto wako shule zile zile ambazo hazina vifaa na miundo mbinu nyingine, wewe huyo huyo unatoka kijiji kile kile kama changu ambako hakuna maji wala umeme achilia mbali huduma za afya, nani anapaswa kuyafanya haya, nani anapaswa kuhoji haya. Tubadirike Watanzania, tufunguke macho yetu, achaneni na viongozi wa dini au siasa wanao hubiri ujinga huu.

Hapo kwenye red mkuu sikubaliani na wewe mwenye kujua na aliesoma kama wewe hawezi kusema eti TAA/TANU mpaka CCM ni chama cha waislamu ikiwa kulikuwa na wakristo kindakindaki kama madaktari watano – Dr. Vedasto Kyaruzi, Dr Joseph Mutahangarwa, Dr Wlibard Mwanjisi, Dr Michael Lugazia na Dr Luciano Tsere, patrick kunambi, gerimano pacha, japhet kirilo na l.m. Makaranga.bila kuwashau joseph kimalando na john rupia.

Kwahiyo kimantiki Mwanakijiji analo alilokusudia na si jingine ila kuipembejea CDM na kuutukanisha Uislam! Kama alikuwa na haja na hoja ya kuisafisha TAA/TANU na CCM na waenyeji wa Dar es Salaam ambao ni Wazaramo ila aliona kuwa kina Sykes hawakuwa Wazaramo ametumia ufundi kuisuka hoja yake ili afanikishe malengo yake! Narudia hakututendea haki Waislam mimi nikiwa mmoja wao kwa kuufananisha Uislam na Uchagga ambao ndani ya huo Uchagga kuna waislam pia!

Shukran sana kwakuwa wewe mwenzetu umeenda sana shule na uimekusaidia sana nadhani utakuwa unaelewa mantiki ya mada yangu.
 
Shukran sana kwakuwa wewe nzetu umeenda sana shule na uimekusaidia nadhani utakuwa unaelewa mantiki ya mada yangu.

Penye red, kwanza mimi sikujua kama Mohammed Shossi ni Muislam, pili nazidi kuamini kwamba Waislam wanatumia mda mwingi kupigania uislam
 
duh, huyu jamaa hakumwelewa mwanakijiji.

Siwezi kumwelewa kwa kuwa alichokiandika kwangu mimi hakipo kwenye historia ya kweli ya TAA mpaka CCM amesema TAA mpaka CCM ilijaa waislam watupu hapo ndio kweli sijamwelewa kwani kulikuwa na wakristo kama kina Dr. Vedasto Kyaruzi, Dr Joseph Mutahangarwa, Dr Wlibard Mwanjisi, Dr Michael Lugazia na Dr Luciano Tsere, patrick kunambi, gerimano pacha, japhet kirilo na l.m. Makaranga.bila kuwashau joseph kimalando na john rupia.

Kwa kifupi amepika history!
 
ni vizuri kuangalia hoja kwa undani maana mwanakijiji alijenga hoja hii akijari kuonyesha ni kundi gani lilikuwa la mwanzo kuspport chama husika. ni umuhimu kujua kuwa kila chama kinachoanza lazima kiwe na waanzilishi ambao watafanyakazi ya kutafuta support kutoka makundi mengine ya jamii 'influence power' hivyo kila moja ambaye atakuwa anakubalika katika jamii husika anatumia nafasi yake kupata wafuasi. TAA/TANU kilipoanzishwa kilipata support kubwa ya waislamu kuliko makundi mengine na pia CDM kilipoanzisha kilipata support kubwa ya watu wa kasikazini. baada ya uanzishaji kilienea kwenye maeneo mengine. kwa hiyo kuchukulia hoja ya kuwa wanzilishaji wengi walikuwa wa jamii fulani ya kitanzania then ukasema ndio cha jamii husika tu hiii sio kweli. leo hii tunashuhudia CCM na CDM kimeenea kila mahali hapa Tanzania na kila mtu anakizungumzia, hii inaonyesha hivi vyama si tena vya jamii fulani au dini au kabila fulani bali vya taifa nzima.
Inawezekana mwanakiji hakuwataja watu wote walionzisha TAA/TANU lakini hoja ni kuwa TAA/TANU ilipoanzisha iliungwa mkono sana watu wa jamii ya Kiislam so kutoka na uwingi wao hatuwezi kuita ni chama cha kiislamu unless waislamu wenyewe waseme hiki ni chama chetu. 'please think critical'
 
Kwa kingereza tungesema nadhani ulisoma na kuelewa syntax bila kuelewa semantic ya alichondika Mwanakijiji. Think and analyse kwa mapana na marefu maudhuhi ya makala ya mwanakijiji utagundua kuwa alichoandika may be na wewe ulichonadika vinaweza kushabiana kwa kiasi fulani

Mtu mwenye akili finyu anaweza kutumia small context ya kitu fulani kujenga hoja yake katika kuwahadaa wanachi.

  • Ndivyo alivyofanya au alivyosema Nape kuhusu CDM

  • Ndivyo mwanakijiji alvyotaka kuonyesha kuna watu kwa kutumia kigezo hicho hicho cha Nape alichosema kuhusu CDM basi hata CCM inaweza kuitwa ya kundi fulani.

  • Ndio maana mimi kama msoma biblia kwa mkusudi tu naweza kutafuta kifungu katika koran cha kuishushia hadhi au kuikashifu dini ya kiislam au kuna muislma kwa makusudi tu anaweza uamua kukashifu ukristu kutumia kifungu fuani tu katika biblia. Sasa pale mambo hapayanpofanyika kwa wananchi wasiokuwa na elimu na uelewa wa kchambua nakujiuliza ujue ni kama kuchanganya moto na petroli.
So regardless of chama cha siasa kabila na dini wananchi tuwe makini na hawa viongozi wa kisiasa na mtamashi yao. Simply kiongozi kama Nape kwa postion yake ya chama alikosea kutamka vile.
 
Aah! Sasa unataka kuniaminisha kuwa sijui kusoma au sijui kuelewa? Sana nitakupongeza kwa kuongeza majina mengine ambayo MKJJ hakuyataja na mengine kuyawekea rangi ya kibuluu. Vinginevyo,ni kipi ambacho amekipotosha, ame"baka" historia, ame"danganya".....?. Ni kipi?

Kuhusu rai yako mwishoni, nakushauri ukarudie tena kuisoma hiyo makala kisha upitie tena ulichokiandika. Unaonekana ni mwelewa mzuri tu,sijui umejikwaa kwenye jiwe lipi hasa, la udini au la ukabila...sijui kwa kweli!:A S 39:
 
Hapo kwenye red mkuu sikubaliani na wewe mwenye kujua na aliesoma kama wewe hawezi kusema eti TAA/TANU mpaka CCM ni chama cha waislamu ikiwa kulikuwa na wakristo kindakindaki kama madaktari watano – Dr. Vedasto Kyaruzi, Dr Joseph Mutahangarwa, Dr Wlibard Mwanjisi, Dr Michael Lugazia na Dr Luciano Tsere, patrick kunambi, gerimano pacha, japhet kirilo na l.m. Makaranga.bila kuwashau joseph kimalando na john rupia.

Kwahiyo kimantiki Mwanakijiji analo alilokusudia na si jingine ila kuipembejea CDM na kuutukanisha Uislam! Kama alikuwa na haja na hoja ya kuisafisha TAA/TANU na CCM na waenyeji wa Dar es Salaam ambao ni Wazaramo ila aliona kuwa kina Sykes hawakuwa Wazaramo ametumia ufundi kuisuka hoja yake ili afanikishe malengo yake! Narudia hakututendea haki Waislam mimi nikiwa mmoja wao kwa kuufananisha Uislam na Uchagga ambao ndani ya huo Uchagga kuna waislam pia!

Shukran sana kwakuwa wewe mwenzetu umeenda sana shule na uimekusaidia sana nadhani utakuwa unaelewa mantiki ya mada yangu.

Ukitulia na kuondoa jazba, inawezekana watu wakakuelewa unachotaka tukielewe tofauti na ulivyoandika kwenye post ya kwanza ya thread.

Mimi ni mmoja wa hao (labda tuko wachache tu) ambao bado hatujaiona tofauti ya unachosema na kile cha MMJ kuhusu historia ya TANU/CCM na Uislamu.

Wakati weye uko biaised na kiushabiki kiasi kwa ku-narrate the CCM/Uislamu "perceived" (the emphasis here is mine) chemistry, mwenzio MMJ ame-balance narration yake kwa kulinganisha na ile ya Chadema/Uchagga.

Badala ya kuonekana unalalamika na "kupigania" Uislamu, nadhani ungejikita zaidi katika kupambanua vipengele vya comparison (differences & similarities) aliyo-present mwenzio.

After all, mimi binafsi najua kabisa kuwa Uislamu is a very strong belief na yenye nguvu kubwa ya ki-Mungu ndani yake na hivyo haihitaji mwanadamu awaye yote aipiganie, labda iwe kwa maslahi binafsi!
 
kama unataka kutetea hii hoja na je unaweza kuitetea hoja ya viongozi wa ccm wanaosema kuwa chadema ni chama cha wachaga?
kwa sababu hoja ya mwanakijiji haijakamilika kama utainyofoa kwenye hoja ya viongozi wa ccm kuwa chadema ni chama cha wachaga, zile hoja zinaenda sambamba
 
ni vizuri kuangalia hoja kwa undani maana mwanakijiji alijenga hoja hii akijari kuonyesha ni kundi gani lilikuwa la mwanzo kuspport chama husika. ni umuhimu kujua kuwa kila chama kinachoanza lazima kiwe na waanzilishi ambao watafanyakazi ya kutafuta support kutoka makundi mengine ya jamii 'influence power' hivyo kila moja ambaye atakuwa anakubalika katika jamii husika anatumia nafasi yake kupata wafuasi. TAA/TANU kilipoanzishwa kilipata support kubwa ya waislamu kuliko makundi mengine na pia CDM kilipoanzisha kilipata support kubwa ya watu wa kasikazini. baada ya uanzishaji kilienea kwenye maeneo mengine. kwa hiyo kuchukulia hoja ya kuwa wanzilishaji wengi walikuwa wa jamii fulani ya kitanzania then ukasema ndio cha jamii husika tu hiii sio kweli. leo hii tunashuhudia CCM na CDM kimeenea kila mahali hapa Tanzania na kila mtu anakizungumzia, hii inaonyesha hivi vyama si tena vya jamii fulani au dini au kabila fulani bali vya taifa nzima.
Inawezekana mwanakiji hakuwataja watu wote walionzisha TAA/TANU lakini hoja ni kuwa TAA/TANU ilipoanzisha iliungwa mkono sana watu wa jamii ya Kiislam so kutoka na uwingi wao hatuwezi kuita ni chama cha kiislamu unless waislamu wenyewe waseme hiki ni chama chetu. 'please think critical'

Hapo mimi nisie na uelewa nimemwelewa kuwa TAA na baadae TANU na CCM watu kama C.O. Milinga, Patrick Kunambi, Gerimano Pacha, Japhet Kirilo na L.M. Makaranga,Joseph Kimalando,John Rupia,Clement Mtamila,Schneider Plantan, Denis Phombeah,Dr Michael Lugazia, Dr Vedasto Kyaruzi, Dr Luciano Tsere, Dome Budohi,Kasela Bantu na Dr Wlibard Mwanjisi ni watu wa kufikirika basi uanzishwaji wa TAA na ba baadae TANU mpaka muungano wa ASP kuwa ulikuwa na waislamu watupu na ndio maana alidiriki kuwabagua wakristo wapigania uhuru ili aweze kuipa nguvu makala yake! Uandishi wa kibaguzi wa namna hii unatakiwa ulaaniwe kwa nguvu zote!
 
kama unataka kutetea hii hoja na je unaweza kuitetea hoja ya viongozi wa ccm wanaosema kuwa chadema ni chama cha wachaga?
kwa sababu hoja ya mwanakijiji haijakamilika kama utainyofoa kwenye hoja ya viongozi wa ccm kuwa chadema ni chama cha wachaga, zile hoja zinaenda sambamba

Mimi sipo upande wa kutetea chama wala mtu natetea historia ya kweli napinga wakristo wazalendo waliopigania uhuru kusilimishwa na watu kama kina Mwanakijiji!
 
ni vizuri kuangalia hoja kwa undani maana mwanakijiji alijenga hoja hii akijari kuonyesha ni kundi gani lilikuwa la mwanzo kuspport chama husika. ni umuhimu kujua kuwa kila chama kinachoanza lazima kiwe na waanzilishi ambao watafanyakazi ya kutafuta support kutoka makundi mengine ya jamii 'influence power' hivyo kila moja ambaye atakuwa anakubalika katika jamii husika anatumia nafasi yake kupata wafuasi. TAA/TANU kilipoanzishwa kilipata support kubwa ya waislamu kuliko makundi mengine na pia CDM kilipoanzisha kilipata support kubwa ya watu wa kasikazini. baada ya uanzishaji kilienea kwenye maeneo mengine. kwa hiyo kuchukulia hoja ya kuwa wanzilishaji wengi walikuwa wa jamii fulani ya kitanzania then ukasema ndio cha jamii husika tu hiii sio kweli. leo hii tunashuhudia CCM na CDM kimeenea kila mahali hapa Tanzania na kila mtu anakizungumzia, hii inaonyesha hivi vyama si tena vya jamii fulani au dini au kabila fulani bali vya taifa nzima.
Inawezekana mwanakiji hakuwataja watu wote walionzisha TAA/TANU lakini hoja ni kuwa TAA/TANU ilipoanzisha iliungwa mkono sana watu wa jamii ya Kiislam so kutoka na uwingi wao hatuwezi kuita ni chama cha kiislamu unless waislamu wenyewe waseme hiki ni chama chetu. 'please think critical'

Nafikiri akisoma hii ataelewa hoja ya MM ilivyoijenga na maudhui yake.
 
Hapo kwenye red mkuu sikubaliani na wewe mwenye kujua na aliesoma kama wewe hawezi kusema eti TAA/TANU mpaka CCM ni chama cha waislamu ikiwa kulikuwa na wakristo kindakindaki kama madaktari watano – Dr. Vedasto Kyaruzi, Dr Joseph Mutahangarwa, Dr Wlibard Mwanjisi, Dr Michael Lugazia na Dr Luciano Tsere, patrick kunambi, gerimano pacha, japhet kirilo na l.m. Makaranga.bila kuwashau joseph kimalando na john rupia.

Kwahiyo kimantiki Mwanakijiji analo alilokusudia na si jingine ila kuipembejea CDM na kuutukanisha Uislam! Kama alikuwa na haja na hoja ya kuisafisha TAA/TANU na CCM na waenyeji wa Dar es Salaam ambao ni Wazaramo ila aliona kuwa kina Sykes hawakuwa Wazaramo ametumia ufundi kuisuka hoja yake ili afanikishe malengo yake! Narudia hakututendea haki Waislam mimi nikiwa mmoja wao kwa kuufananisha Uislam na Uchagga ambao ndani ya huo Uchagga kuna waislam pia!

Shukran sana kwakuwa wewe nzetu umeenda sana shule na uimekusaidia nadhani utakuwa unaelewa mantiki ya mada yangu.

I once asked you "Lini umebadili dini" mlipokuwa mnashadidia na kumshambulia Babu wa Loliondo ukitoa hoja na nukuu za biblia kibao. The likes of Miss Judith were swayed by your deception to think you belong to the same flock.
 
Mohammed Shossi hayo yote unayoyasem ni kweli :rudia tena kusoma bandiko la mwanakijiji
 
Aah! Sasa unataka kuniaminisha kuwa sijui kusoma au sijui kuelewa? Sana nitakupongeza kwa kuongeza majina mengine ambayo MKJJ hakuyataja na mengine kuyawekea rangi ya kibuluu. Vinginevyo,ni kipi ambacho amekipotosha, ame"baka" historia, ame"danganya".....?. Ni kipi?

Kuhusu rai yako mwishoni, nakushauri ukarudie tena kuisoma hiyo makala kisha upitie tena ulichokiandika. Unaonekana ni mwelewa mzuri tu,sijui umejikwaa kwenye jiwe lipi hasa, la udini au la ukabila...sijui kwa kweli!:A S 39:

Unaweza kuniambia kwanini hakutaja majina ya wakristo wote kwenye makala yake? in fact mie wengine nimewaacha kama oscar kambona! amewaacha kwa makusudi amewaacha kwa kuwa anataka picha la filamu aliyoitengeneza iishe anavyotaka yaani steringi sijui kama ni CDM au CCM asife!
 
Ni vigumu kumuelewa Mwanakijiji kwakua ni mtu mwenye upeo mkubwa lakini ana chuki kubwa zaidi na uislam na waislam na uzuri wake hafichi hilo.
 
Hajasema waislamu watupu bana weee aah! Amewataja wakristo pia tena miongoni mwa hao uliowataja. Kweli hukuona au hukuelewa? ALichokieleza tena kwa kukirudia mara kwa mara kimantiki ni waislamu walikua na influence kubwa sana,tena walishika nafasi nyingi zile muhimu katika vyama hivyo na harakati zake; na nazungumzia nafasi muhimu! (usije tu mathalani ukamtaja mshindo, kwa vile alikua anashika bango la PPT-MAENDELEO basi awemo kwenye historia ya orodha ya waasisi wake).

Mantiki yake pia inaeleza bayana: kuwepo kwao hao waisalamu tena kwa influence kubwa,hakuvifanyi vyama hivyo kuwa vya kiislamu,la hasha! Hawakuvianzisha kwa sababu ya uislamu wao,wala kwa maslahi ya UISLAMU bali ukombozi wa TANGANYIKA,period!

Tukiachana na MKJJ, my take sasa: Hao waislamu waasisi wa TAA,TANU,ASP na CCM,ndio walikua waislamu wa kweli ambao tunapaswa kuwaenzi. Kama Abdulwahid Sykes anaweza kumpisha Julius aongoze harakati na asimwite kafiri,huyo ni mfano wa kuigwa na waislamu wengine. Lakini nina wasiwasi kama wewe ndugu unaweza kufanya hivyo kama ungekua na nafasi hiyo. Hebu nitoe wasiwasi tafadhali!
Siwezi kumwelewa kwa kuwa alichokiandika kwangu mimi hakipo kwenye historia ya kweli ya TAA mpaka CCM amesema TAA mpaka CCM ilijaa waislam watupu hapo ndio kweli sijamwelewa kwani kulikuwa na wakristo kama kina Dr. Vedasto Kyaruzi, Dr Joseph Mutahangarwa, Dr Wlibard Mwanjisi, Dr Michael Lugazia na Dr Luciano Tsere, patrick kunambi, gerimano pacha, japhet kirilo na l.m. Makaranga.bila kuwashau joseph kimalando na john rupia.

Kwa kifupi amepika history!
 
Mimi sipo upande wa kutetea chama wala mtu natetea historia ya kweli napinga wakristo wazalendo waliopigania uhuru kusilimishwa na watu kama kina Mwanakijiji!
basi kama ni hivi utakuwa unapiga ngumi kwenye ukuta kwa sababu kila mtu anajua kuwa ni kweli katika wale waanzilishi wa ccm kulikuwa na wapagani na wakristo, pia na katika wale waanzilishi wa chadema kulikuwa na watu wa makabila mengine pia...na hili suala limekaa kisiasa ukilibadilisha likawa la kiimani basi hutapata conclusion na matokeo yake utaenda mbali sana
 
Back
Top Bottom