Mwanakijiji na Uislamu wa TAA/TANU mpaka CCM

Mwanakijiji ni fataani, mnafik na mzandik wa kwanza katika JF, kwenda kujaribu kuudhalilisha uIslaam kwa kuufananisha na uchaga ni nini hicho? aelewe kuwa uislaam ni universal na hauna mchaga wala mchina. Angefananisha uchaga na ukwere kama chuki yake ni kwa Kikwete, na kama chuki yake ni kwa uIslaam kama alivyojidhihirisha, basi angeufananisha uIslaam na huo Ukristo wake halafu tuchambuwe.

Punguani anataka kutujaza upunguani wake. Kwanza yule nasikia Tanga "walimshughulikia".

Mbona una mdomo mchafu? Hayo ya "kumshughulikia" yametoka wapi? Badala ya kutetea uislamu unajidhalilisha tu. Sidhani kama kuna dini inashabikia matusi.

Amandla........
 
Once again; mta cherry pick hadi mchoke leo; anayefahamu hoja hii anajua kabisa haikuwa hoja juu ya Uislamu na CCM... isome ielewe
 
Back
Top Bottom