Chipolopolo
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,432
- 746
😛😀
Kwa kweli bora modo lakini Mzuriii... demu mwenye tako lakini sura hana aiseee labda ulee usepee ila kuoaa duu...Lol, ukimuangalia usoni tu unamtoa confidence.
Muda mwingine unakuwaga na Akili wewe Mdada!(just Kiding)Tabia utaionaje kabla hujavutiwa na vya nje? Hivi vya tabia ni wale mnakua karibu. Ila kina sisi tunaokutana mtaani tu huko lazima kuna kitu kinakuvuta kwanza ambacho sio tabia
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwalaumu....ni swala la saikolojia na utamaduni. Sisi waafrika haya mambo hatukuzoea aiseeHahaha wapo sana hasa dada zetu wa kibongo (i'm sorry ladies nawapenda mnoo ila hapo hua mnaboa, lol)
Unajikakamua umtoe kwenye a nice place looh kwanza mnapoelekea tu ukimshika mkono umeloa jasho kwa woga, (girl pls, we are just eating and leave) kila kitu umuagizie really hata kinywaji!!?
Mm kwangu ni msambwandaKuna hili suala ambalo nimeona sio vibaya tukiulizana kujua utashi wa kila atakayechangia tuone kipi watu wanapenda zaidi inapobidi kuchagua kimoja.
Ni ndoto ya kila mmoja kupata mwanamke aliyetimia kuanzia sura mpaka umbo na kwa sie waafrika toka kale tupo katika umbo tunamaanisha kalio lililoshiba vizuri yani msambwanda kwa lugha ya mtaani.
Lakini kwa bahati mbaya sio mara nyingi mtu hubahatika kupata seti iliyokamili, ndipo hapo napopenda kujua je kati ya binti mwenye sura nzuri lakini nyuma flat screen na binti asiye na sura nzuri ila nyuma amesheheni vizuri au ana umbo zuri upendalo utachagua yupi? Mimi binafsi msambwanda ndio ugonjwa wangu sura sio issue sana.
Karibuni wadau
Duh!Mwanamke tako wewe, sura hatuangalii tutapiga mbuzi kagoma kwenda
mkuu Wewe ni me??Kwanza kabisa awe vizuri kichwani yaan ajielewe na kujitambua yeye ni nani na awe proud kua yeye, pili sura itazamike sababu napenda sana kumuangalia mwanamke usoni halafu nashuka mpaka kifuani lol, mengine ni ziada tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasubiria jibu.mkuu Wewe ni me??
tuendelee kuvuta subiraNasubiria jibu.
'Me' kwa maana ya kiswahili cha Mimimkuu Wewe ni me??
Siwalaumu ndio maana nawapenda hivyo hivyo.Usiwalaumu....ni swala la saikolojia na utamaduni. Sisi waafrika haya mambo hatukuzoea aisee
sent from this unknown device
Umeona eeeh.... hatariiiiiKwa kweli bora modo lakini Mzuriii... demu mwenye tako lakini sura hana aiseee labda ulee usepee ila kuoaa duu...
Sent using Jamii Forums mobile app
acha kufanya mambo kuwa magumu mkuu,jibu swali'Me' kwa maana ya kiswahili cha Mimi
au 'Me' kwa maana ya Mbuzi?
Weka swali vizuri.
Mfano nisipokujibu???acha kufanya mambo kuwa magumu mkuu,jibu swali