Mwanake ni Sura au Msambwanda/Kalio ?

Mwanake ni Sura au Msambwanda/Kalio ?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Me huwa nikimla demu mwenye mzigooo huwa mood nae inakata...naanza kumuonaa mbaya tenaa[emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha mwenye mzigo kuna style huwezi kumuweka wala kumbeba lakini kimodo unakikunja utakavyo.... hehehehe
 
Kizuri roho, vingine kachumbari...

Mwanamke mwenye sura mbaya ila kalio kubwa unaweza ukawa nae bora liende tu...

Mwanamke mwenye sura nzuri hata kama figure ya kawaida ana raha yake... (Figure ya kawaida, tako la wastani na sura nzuri)


Cc: mahondaw

Asanteeeee......
 
Huwez kuelewa kama wew sio mfatiliaji wa tabia za watu.

Kwenda sokon ni swala la kawaida nani jambo ambalo halikwepeki kwan kila siku mtapika nyumban.

Lakin binti ane waza kwenda kupiga picha kila siku wew huon tatizo hapo kabisa???

Sasa wew huna kazi huna kipato, umri wa kuolewa, hizo picha zakusaidia nn??? Na huku wew sio msanii.
Na unaweza kumuuliza vip huwa unakuja huku kupiga picha mala kwa mala kanakujibu ndio yani napenda sanaaa.

Upuuzi mtupo, picha zimekua chakula.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi kabisa mkuu
 
Kuna hili suala ambalo nimeona sio vibaya tukiulizana kujua utashi wa kila atakayechangia tuone kipi watu wanapenda zaidi inapobidi kuchagua kimoja.

Ni ndoto ya kila mmoja kupata mwanamke aliyetimia kuanzia sura mpaka umbo na kwa sie waafrika toka kale tupo katika umbo tunamaanisha kalio lililoshiba vizuri yani msambwanda kwa lugha ya mtaani.

Lakini kwa bahati mbaya sio mara nyingi mtu hubahatika kupata seti iliyokamili, ndipo hapo napopenda kujua je kati ya binti mwenye sura nzuri lakini nyuma flat screen na binti asiye na sura nzuri ila nyuma amesheheni vizuri au ana umbo zuri upendalo utachagua yupi? Mimi binafsi msambwanda ndio ugonjwa wangu sura sio issue sana.

Karibuni wadau
Mh !! mi sina kabisa shauku ya kupata demu mzuri wa sura wala mwenye msambwanda , mwanamke ni mwanamke tu bora anaweza kufanya majukumu yake kwa mwanaume na familia kwa ujumla alafu ukipata demu muelewa inakuwa poa sanaa. sikuizi mademu wengi sanaaa wana misambwanda ya kichina sasa bac kazi kwetu kutafuta ulio real na ule fake ila kumbuka demu ata awe mzuri vp sio chakula kile kwamba utakula utashiba
 
Back
Top Bottom