MwanaJF yupi anafaa kuteuliwa viti maalum?

MwanaJF yupi anafaa kuteuliwa viti maalum?

Boss,nipendekeze niwe kwenye sekta muhimu..nimekuandalia zawadi spesho ukinifanikishia hilo..😉

Senkyu vere mache mpendwa *Former Speaker's accent*. I will see to it that you win the seat. I'm already looking forward to that special gift.
 
Navuta picha lara1 ndo mbunge, af anapeleka hoja yake kwa maandishi.
 
Last edited by a moderator:
Nitarudi Lakini Natoa Angalizo kwenu, Atoto Asipewe Wizara Yoyote Inayohusika na Pesa...

Hivi posho ni shilingi ngapi vile? Na sitaki wizara nyingine yoyote isiyohusika na pesa, au basi wizara ya maliasili, utalii, na madini, hakuna kuzitenga tafadhali.
 
Teh teh...atoto anapenda za wanaume na sio za bunge...

Kwani bungeni hakuna wanaume? Tena wale sio wachoyo kama nyie huku upaukoni, alafu napeleka mswada kabisaaa ni lazima wanaume kuwapa pesa wapenzi wao.
 
NANDERA, Heaven Sent, nifah huku Diva Beyonce akiwa kwenye waiting list
atoto na cute b wanafaa pia, sema ndo hivyo wanaume tutakoma, manake watalobby mpaka kuwekwe sheria ya kulazimisha wanaume kuwapa hela Ke
warumi naye si haba akienda, ili akasaidiane na kibajaji kutoa vichambo

Hahahaaaaa! Yaani kwakweli hiyo inabidi itungiwe sheria kabisaaa maana mmezidi uchoyo na ubahiri, waone kwanza vile, miguu yenu wote mnaowanyima pesa wapenzi wenu.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa! Yaani kwakweli hiyo inabidi itungiwe sheria kabisaaa maana mmezidi uchoyo na ubahiri, waone kwanza vile, miguu yenu wote mnaowanyima pesa wapenzi wenu.

Teh teh teh, hoja imefika kwa mwenyewe
 
Back
Top Bottom