MwanaJF yupi anafaa kuteuliwa viti maalum?

MwanaJF yupi anafaa kuteuliwa viti maalum?

Katika zile nafasi za wanaume naona KikulachoChako anafaa, ana michango murua
 
Last edited by a moderator:
naona kama wanawake ndo wanatajwa zaidi kwani hivi viti si vya wote au...Paulo sergio de souz unafaa mkuu
 
Tatizo wanawake wa MMU wamekuwa partisan sana, hawatatetea maslahi ya wananchi bali ya chama. Mfano: cute b na khantwe!
Sijataka kuwaita maana hawachelewi kuporomosha mitusi.
 
atoto hoja yake itakuwa moja tu kuongezewa posho za vikao ..Sidhani kama anafaa

Mie huko hapanifai kabisaaaaa, yaani kanti imajini, wasipoongeza najiuzuru
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Mie huko hapanifai kabisaaaaa, yaani kanti imajini, wasipoongeza najiuzuru
Teh teh..Yani ukisimama tu watu wanajua unaongelea nn..Halafu nimepita sehemu nasikia unasema mi nina kiburi..kweli?
 
Back
Top Bottom