Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,832
- 15,032
Hujui ulichonifanya?
Nimekufanya vitu vingi..Ila vyote umeonyeshwa kufurahishwa navyo..Sijui hizi lawama zatoka wapi
Hujui ulichonifanya?
Nimekufanya vitu vingi..Ila vyote umeonyeshwa kufurahishwa navyo..Sijui hizi lawama zatoka wapi
Tatizo wanawake wa MMU wamekuwa partisan sana, hawatatetea maslahi ya wananchi bali ya chama. Mfano: cute b na khantwe!
Sijataka kuwaita maana hawachelewi kuporomosha mitusi.
1 AshaDii.
2 BADILI TABIA.
3 Apologise lady
4 Heaven Sent
5 charminglady.
6 lara1
7 King'asti
8. Kasinde
9 Madame B.
10. FaizaFoxy.
11. Khantwe.
12 Evelyn Salt
Nawapendekeza Evelyn Salt na Heaven Sent
Ahsante, Kweli my Gelofriend Heaven Sent anafaa tena kupitia chadema
Haswaaaaaa, hoja zenu zitatufaa sana, hasa zile zako fupi bt nzitoooo, yaweza kuwa maneno matatu ila yamebeba ujumbe wa kitabu kizima.
Ahsante, Kweli my Gelofriend Heaven Sent anafaa tena kupitia chadema
Khaaaah! Nataka uwaziri kabisa bwana.
Teh basi umeupata uwaziri. Sipati picha hizo wizara zitakazoiba hata sh 200
Hahaha utakuwa unakuja kutufanyia surprise za ukaguzi wa mahesabu tehYaani watanikoma nawasemea kwa baba magu tunarara nao mbere.
Hahaha utakuwa unakuja kutufanyia surprise za ukaguzi wa mahesabu teh
Hahaha "hutatuangusha"Hiyo haina ratiba ni suprise tu, na hakuna safari yoyote ya nje, mnaenda kufanya nini wakati wananchi mnaowahudumia wako humuhumu?
Hahaha "hutatuangusha"
HatarreeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeKamwe hatutowaangusha, na unaposafiri humuhumu ueleze vyema waenda kufanya nini ambacho hao wa huko hawawezi kufanya.
Teh gelofriend wewe itabidi uwe tu waziri wa nidhamu. Zile kelele za "tundu lissu, jamani tundu kaa chini" zitaisha
vp umeula uteuzi?Haswaaaaaa, hoja zenu zitatufaa sana, hasa zile zako fupi bt nzitoooo, yaweza kuwa maneno matatu ila yamebeba ujumbe wa kitabu kizima.