Hahaha dah! Viti maalum ni kwa wanawake tu Chief. Hapa umenichezea rafu bana.
Ina maana hamnioni au ndo figisufigisu zenu?
Ina maana hamnioni au ndo figisufigisu zenu?
cute b, ana michango chanya sana kwenye mambo matamu matamu. Bungeni pia kunahitajika burudani. Teh
duh! nisamehe sana mkuu sijui siasa basi nikajua ni kwa wote
Nilipaswa niwemo akilini mwako! Nimesubiri weee labda utanitaja naona kimya. Nimeamini huwa naongea sana pumba kuliko mbolea!Hujaongea vizuri. Nafasi ni chache, na mko wengi. Hebu sema sasa, what's in it for I? Nikupigie chapuo.
Si ndio hapo. Namwamini, ila vishawishi ni vingi sana. Na shetani ana-improvise daily.
Tatizo wanawake wa MMU wamekuwa partisan sana, hawatatetea maslahi ya wananchi bali ya chama. Mfano: cute b na khantwe!
Sijataka kuwaita maana hawachelewi kuporomosha mitusi.
Nilipaswa niwemo akilini mwako! Nimesubiri weee labda utanitaja naona kimya. Nimeamini huwa naongea sana pumba kuliko mbolea!
Haya banaaaaSasa ujue, akilini zangu kama mwanaume zimegawanyika. Sasa inategemea upo kwenye akili zipi wakati napendekeza majina, ila ni vyema kuwa kwenye zote. 😎
Unaogopa tu na me ntakuwa "classy"
Teh wivu tu, hamtaki niishi kizungu. Ntawanyoosha na baba mkwe wakoHaha exactly. Classy ya Mwelewa. Hiyo hapana.
Teh wivu tu, hamtaki niishi kizungu. Ntawanyoosha na baba mkwe wako
Hahhahaha you so nuts[emoji23] [emoji23] [emoji23] , week hii hamna kula nyumbani. Magazeti ntakuwa nayaandika afu nakala namkabidhi tu spika.Hehe no. Sisi ni waAfrika na tunauthamini uAfrika wetu. Besides, utakuwa humalizi hoja kwa kuwa hakutakuwa na muda wa kutosha kuwakilisha magazeti yako.
*walking away whistling, my hands in my pockets*