MwanaJF yupi anafaa kuteuliwa viti maalum?

Miss chagga

hahahahahhh naona umejichagua mwenyewe ila ulikuwa akilin mwangu.

Nakuchagua kwa nguvu zote ukateteee wanaume wawe wanatugaia hela tu. kila wakisema na sie watoe pesa tuuuu.
 
Mimi naomba kwenye zile nafasi kumi za wanaume nimpe Paulo Sergio De Souz namkubali sana kwa kweli na mkuu Sumbai.

Wasipoungwa mkono nachukua maamuzi magumu kama Lowassa.
 
hahahahahhh naona umejichagua mwenyewe ila ulikuwa akilin mwangu.

Nakuchagua kwa nguvu zote ukateteee wanaume wawe wanatugaia hela tu. kila wakisema na sie watoe pesa tuuuu.
hizo pesa za bure aisee nazitamani ..sijui kwa nini hawanioni nikakae nami nile kodi
 
nilichohisi kwamba wanataka kukuchagua uwe raisi wa mawaziri wote kabisa kwa mara ya kwanza.

sioni sababu ya kusahau jina lako kwa kweli
 
Wanaogopa tu me sitaiba ila nitachukua tu
 
Valentina yuko wapi jamani, jina lako nalichagua
 
Back
Top Bottom