GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 5,154
- 6,948
Hiyo ndio lugha ya kibabe inayotumiwa na wanasiasa na watumishi wa Serikali, sheria mbona iko wazi tu kuwa pale Serikali inapotaka kutwaa ardhi kwa ajili ya maendeleo, inawajibika kumlipa fidia inayolingana na thamani, kwa ukamilufu babu au bibi mwenye eneo lake analopaswa kuliachia... Sio janja janja ya kupima miguu ambayo ndio ulaghai halisi wa Serikali za mitaa.Kuna kitu kinaitwa mipango miji ukiitizama hiyo picha mbele kule kuna watu zaidi ya mmoja wanahitaji barabara so kisheria hapo atake asitake lazima atoe barabara.
Ingekuwa ni mtu mmoja tu anahitaji hiyo njia angeweza kufanya hivyo ila hapo wahitaji ni wengi ni vile tu hawa watu wakishakuwa kwenye mamlaka wanajiona wapo juu ya sheria zote