matongo manawa
JF-Expert Member
- Apr 6, 2011
- 336
- 79
Ktk kuonesha kuwa yuko juu ya sheria mwanajeshi ktk mpaka wa Horohoro anayeitwa
Rogers anayefanya kazi ya uintellejensia wa jeshi amemdhalilisha na kumtesa mwanamke mmoja kwa kimwingiza chupa za bia sehemu ya haja kubwa na ndogo na
kumpiga picha akiwa uchi wa mnyama.
Mwanamke huyo akiongea na shuhuda alieleza kuwa kabla ya kufanyiwa ukatili huo alipigwa na mkanda wa jeshi na kuambiwa hata akienda wapi hatafanywa chochote,
Mwanamke huyo aliyejeruhiwa vibaya anajitibia nyumbani kwao kutokana na kutishwa kuwa akienda polisi atakiona cha moto.