Mwanajeshi amfanyia unyama na udhalilishashaji mwanamke Tanga.

matongo manawa

JF-Expert Member
Apr 6, 2011
336
79
Ktk kuonesha kuwa yuko juu ya sheria mwanajeshi ktk mpaka wa Horohoro anayeitwa
Rogers anayefanya kazi ya uintellejensia wa jeshi amemdhalilisha na kumtesa mwanamke mmoja kwa kimwingiza chupa za bia sehemu ya haja kubwa na ndogo na
kumpiga picha akiwa uchi wa mnyama.

Mwanamke huyo akiongea na shuhuda alieleza kuwa kabla ya kufanyiwa ukatili huo alipigwa na mkanda wa jeshi na kuambiwa hata akienda wapi hatafanywa chochote,

Mwanamke huyo aliyejeruhiwa vibaya anajitibia nyumbani kwao kutokana na kutishwa kuwa akienda polisi atakiona cha moto.
 
source na ushahidi tafadhali
 
pamoja na kwamba chanzo hakikueleweka kuwa ni nini,na kama ikithibitika kuwa ni kweli; basi huyu mwanajeshi anapaswa kukamatwa, na kufungwa kwa miaka 30 kwa kosa la udhalilishaji na kubaka kwa kutumia chupa. au anyongwe tu kama wenzake. tabia hii haikubaliki
 
Ktk kuonesha kuwa yuko juu ya sheria mwanajeshi ktk mpaka wa Horohoro anayeitwa
Rogers anayefanya kazi ya uintellejensia wa jeshi amemdhalilisha na kumtesa mwanamke mmoja kwa kimwingiza chupa za bia sehemu ya haja kubwa na ndogo na
kumpiga picha akiwa uchi wa mnyama.

Mwanamke huyo akiongea na shuhuda alieleza kuwa kabla ya kufanyiwa ukatili huo alipigwa na mkanda wa jeshi na kuambiwa hata akienda wapi hatafanywa chochote,

Mwanamke huyo aliyejeruhiwa vibaya anajitibia nyumbani kwao kutokana na kutishwa kuwa akienda polisi atakiona cha moto.

We have the most undisciplined armed forces in the region, sio polisisiem, sio magerezajambazi, sio jeshi wa hivi, duh
 
naisi jeshi letu (hasa miaka hii) nidhamu imekuwa F, na hii ni HATARI SANA
 
kwanini usimshauri aende kwenye assasi zinazoshugulikia mambo hayo kama Tamwa, TGNP, human right watch etc
 
Wewe kama wewe mtoa habari umechukua jukumu gani kumsaidia iwapo umefaham huo ukatili aliotendewa na huku ukijua kabisa hakuna aliye juu yj sheria
 
Mwanajeshi gani? Polisi, Mgambo, JW, KMKM, Magereza, au???? Kamilisha habari lete na hizo picha alizopigwa, vinginevyo inakuwa kama majungu aun Jicho la Ng'ombe
 
Ktk kuonesha kuwa yuko juu ya sheria mwanajeshi ktk mpaka wa Horohoro anayeitwa
Rogers anayefanya kazi ya uintellejensia wa jeshi amemdhalilisha na kumtesa mwanamke mmoja kwa kimwingiza chupa za bia sehemu ya haja kubwa na ndogo na
kumpiga picha akiwa uchi wa mnyama.

Mwanamke huyo akiongea na shuhuda alieleza kuwa kabla ya kufanyiwa ukatili huo alipigwa na mkanda wa jeshi na kuambiwa hata akienda wapi hatafanywa chochote,

Mwanamke huyo aliyejeruhiwa vibaya anajitibia nyumbani kwao kutokana na kutishwa kuwa akienda polisi atakiona cha moto.
Mkuu mwongoze apeleke malalamiko yake kwenye sehemu zinazohusika eg wanasheria, vyombo vya habari, polisi nk. Wanaouliza mambo ya picha achana nao, ni jamii ya mamba wala watu huku machozi yakiwatoka.
 
Sababu ilikuwa ni nini hata amfayie hivyo?? Muulize kisha utujuze mkuu.

Labda huyo mwanamke alikula vya njemba kisha kalala kona.

Amepitwa na usemi "KULA na KULIPA NDIO MTINDO WA KISASA

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Inawezekana ikawa ni habari ya kubuni, ili wana JF tuone umejua kuandika. Kama kweli amekuelezea hayo wewe kwanini usimsaidie kumpeleka ktk vyombo vya sheria? Una ushahidi gani wa kitendo hicho, Je amekuonyesha hicho alichofanyiwa? Hakuna aliyejuu ya sheria, msaidie ili hatua za kufaa ziweze kuchukuliwa kama ni ukweli.
 
Ambe wewe wolawa kwani lumbu? Mgeta? Matombo?
 
mwanajeshi anatambulika na namba na cheo chake ,hujafafanua vizuri ,hakuna aliye juu ya sheria ,sheria ni msumeno lazima imkate huyo .
 
Sababu ilikuwa ni nini hata amfayie hivyo?? Muulize kisha utujuze mkuu.

Labda huyo mwanamke alikula vya njemba kisha kalala kona.

Amepitwa na usemi "KULA na KULIPA NDIO MTINDO WA KISASA

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!

"UKITAKA KULA UKUBALI KULIWA" According to Mr Dha...
 
Inawezekana ikawa ni habari ya kubuni, ili wana JF tuone umejua kuandika. Kama kweli amekuelezea hayo wewe kwanini usimsaidie kumpeleka ktk vyombo vya sheria? Una ushahidi gani wa kitendo hicho, Je amekuonyesha hicho alichofanyiwa? Hakuna aliyejuu ya sheria, msaidie ili hatua za kufaa ziweze kuchukuliwa kama ni ukweli.
Mkuu nikiangalia umri wako humu jamvini nakuona km unajivunjia heshima wewe bado unanuka Maziwa mdomoni nimeanza kuandika hapa kabla yako na wala sihitaji ww unione najua kuandika tafadhari panuka kifikira.Nimeleta taarifa inayogusa jamii unataka ushahidi mimi si wakili wala mwanaharakati unataka huyo dada anivulie nguoanionyeshe alipoingiziwa chupa?na chupa zitakuwa zimebaki hapohapo?Lakini kulileta hapa jamvini ni hatua ya kupata msaada,Kwa faida yako hapa jamvini tunakuza fikra na si kudunisha na kutokwa povu bila sababu karibu ukuze fikira.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom