Mwanajeshi amfanyia unyama na udhalilishashaji mwanamke Tanga.

Wanajeshi wa Tanzania ni goigoi kuanzia akili zao hadi mitarimbo yao.
Angekuwa smart upstairs angembembeleza huyo mama bila kutumia mikanda na mateso. Angemuingizia mtarimbo badala ya chupa.
Natamani k,umzomea huyo mjeda
 
Huyo mjeshi ni mpumbavu sana hizo sehemu alizoingiza chupa angemwinza jogoo wake ningemwona mbabe.Mwambie huyo mwanamke atafute copy za hizo picha mpeleke polisi ili akatibiwe hospital.Mtafutie wakili huyo mjeshi koko anayepigana na mwanamke akisikia kesi inaenda mahakamani atawatajirisha na atakuwa na adabu
 
Je unajua taratibu za mtu aliyejeruhiwa na anaendelea kutaabika home akifa je? Ndg na jamii inayomzunguka kwa nini haija chukua hatua dhidi ya huyo mwanajeshi, na pia lazima aende akatibiwe Hospitali, Kwanza Mpelekeni Polisi akapewe PF3 then Huyo Jamaa akamatwe, Lakini atajiuguzaje home mtu kajeruhiwa na anaogopa nini kwenda Polisi then Hosp.
 
Peleke frontline GOMA hiyo mtu inayojitia katili ikapambane na wanaume wenzake wa M23!
 
Ktk kuonesha kuwa yuko juu ya sheria mwanajeshi ktk mpaka wa Horohoro anayeitwa
Rogers anayefanya kazi ya uintellejensia wa jeshi amemdhalilisha na kumtesa mwanamke mmoja kwa kimwingiza chupa za bia sehemu ya haja kubwa na ndogo na
kumpiga picha akiwa uchi wa mnyama.

Mwanamke huyo akiongea na shuhuda alieleza kuwa kabla ya kufanyiwa ukatili huo alipigwa na mkanda wa jeshi na kuambiwa hata akienda wapi hatafanywa chochote,

Mwanamke huyo aliyejeruhiwa vibaya anajitibia nyumbani kwao kutokana na kutishwa kuwa akienda polisi atakiona cha moto.

Msipende kutuletea vitu bila ya ushahid, kama hamna picha tutaamin vip, hayo ni mambo ya fb hata ukisema uwongo watu wanakubali tu na sio hapa

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mtoa habari kama uko karibu na huyo binti mshahuri apige picha ya majeraha yake,aende akaripoti kituo cha polisi ili apewe fomu ya matibabu na kuandika maelezo yake,aende kwenye kituo cha afya chochote amwone tabibu wa kumpima na kuthibitisha majeraha yake kwa maandishi,alafu afungue kesi. Lakini anatakiwa awe na mtu wa karibu sana wa kutunza vielelezo vyake vyote.

Binti atakua na stress sana sasa atahitaji ushauri jinsi ya kukabiliana na hali yake.

Ikiwezekana awekwe kwenye uangalizi mkali kwani watu wa aina hii wanaweza kujidhulu wakati wowote coz wanaona kama hawana mtetezi
 
Mkuu nikiangalia umri wako humu jamvini nakuona km unajivunjia heshima wewe bado unanuka Maziwa mdomoni nimeanza kuandika hapa kabla yako na wala sihitaji ww unione najua kuandika tafadhari panuka kifikira.Nimeleta taarifa inayogusa jamii unataka ushahidi mimi si wakili wala mwanaharakati unataka huyo dada anivulie nguoanionyeshe alipoingiziwa chupa?na chupa zitakuwa zimebaki hapohapo?Lakini kulileta hapa jamvini ni hatua ya kupata msaada,Kwa faida yako hapa jamvini tunakuza fikra na si kudunisha na kutokwa povu bila sababu karibu ukuze fikira.
Watu wengine bwana!!!wewe umefikisha ujumbe, na mjumbe hauwawi..Tunashukuru then we can move forward from there...Tunachangia humu kwa kujengana ila Mdote kidogo kakosea,,,msamehe mkuu.
 
Ktk kuonesha kuwa yuko juu ya sheria mwanajeshi ktk mpaka wa Horohoro anayeitwa
Rogers anayefanya kazi ya uintellejensia wa jeshi amemdhalilisha na kumtesa mwanamke mmoja kwa kimwingiza chupa za bia sehemu ya haja kubwa na ndogo na
kumpiga picha akiwa uchi wa mnyama.

Mwanamke huyo akiongea na shuhuda alieleza kuwa kabla ya kufanyiwa ukatili huo alipigwa na mkanda wa jeshi na kuambiwa hata akienda wapi hatafanywa chochote,

Mwanamke huyo aliyejeruhiwa vibaya anajitibia nyumbani kwao kutokana na kutishwa kuwa akienda polisi atakiona cha moto.

Weka picha kaka
 
Mambo ya kizamani hayo. Kwanini asishikishwe adabu mara moja. Acheni woga wa kijinga mwanajeshi ni mtu na akikutana na watu kama sisi ambao ma kungfu ni chukula yetu analia kama mtoto tu. Natamani ningekuwa Horohoro bila shaka huyu angekuwa chakula changu tena akiwa na magwanda yake.
 
Back
Top Bottom