'Mwanajeshi' aliyepiga Picha na Lema Mbaroni

'Mwanajeshi' aliyepiga Picha na Lema Mbaroni

Kapigwa pingu kwa kosa la kuvaa nguo za jeshi, kupiga picha na Lema ama kujitambulisha ni mwanajeshi katika mkutano wa CDM?
 
Kama siyo mwanajeshi kosa lake nini? Mbona A. Shimbo ambaye siyo tu ni Mwanajeshi bali kiongozi mwenye cheo cha juu jeshini alijihusisha na siasa mwaka 2010 wakati wa kampeni tena kwa kuwatisha raia hakutiwa pingu mikononi? Au sheria ilikuwa likizo.
 
Kabla hajapiga picha na Lema mbona hawakumkamata........ R.I.P CCM Meli inapoanza kuzama kila abiria huweweseka kivyake vyake.
 
Hivi mbona wakuu wamajeshi wanapiga picha na Kikwete lakini siyo ishu au mie ndiyo sielewi?
 
Oooh asante.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOM
 
Wengine hawaamini kuwa alikuwa mwanajeshi, mpaka waone kitambulisho au payslip.

Siasa za matope inayoendeshwa na jeshi letu kwa kuwakana watumishi wao ni hatari sana.
 
CDM inafuga majambazi wanaovalia sare za JWTZ.
Hii inaeleza historia zisizoeleweka za kina Lema na Nassari kabla ya ubunge!Huyo kijana aminywe vitu nyeti abaeleze yote.

Hii picha ya kukamatwa huyu jambazi imekuwapo muda sasa na si Mnyika wala CDM wametoa tamko la tukio hili.

Kama CHADEMA inafuga MAJAMBAZI... CCM inalea MAFISADI? kati ya Majambazi na MAFISADI ni yupi anayeidhuru NCHI?
Kama PESA wanazochota MAFISADI zingetumika kusaidia VIJANA kupata AJIRA; Nchi kuwa na Infrastructe Nzuri

Kungekuwa hakuna MAJAMBAZI... Sababu AJIRA zipo na NCHI inaendelea... lakini CCM yakumbatia VIBOPA FISADI
 
mjeda.jpg
ana tofauti na jambazi ili likuwa linajifanya askari ; limekamatwa
 
Tatizo ni kupiga picha na viongozi wa cdm ingekuwa cc wala icngekuwa tabu.mi nilivaaga kofia ya jeshi usa. wajeshi wa hapa wakaninyanganya na mikwara kibao na wakaichukua .je kuna sheria hapa ya kutokuvaa kombat ya nchi yoyote?mbona wanamuziki wanavaa?
 
Comments kama hizi zilinihamisha jukwaa! $#@&*..)!~%...!
Vumilia tu mwaJ, huyo masopakyindi ndiye mwana CCM aliyepikwa akapikika...halafu huyu utakuta ni mtu mzima, ana familia na wapo wanaomwita baba! mtu mzima ovyooo! Sasa fikiria kuwa ni mijitu type hii ndiyo imekamata nchi... inauza ndege yetu Tsh. 500,000, inapakia twiga wetu kuwapeleka Uarabuni halafu inakesha JF ikiwatetea wezi, mafisadi na wauaji!
 
Last edited by a moderator:
Masopakyindi, hili jina kikwetu maana yake macho kwenye ugali, siwezi kushangaa kama na wewe ni walewale, vijana wanaosaliti fikra za vijana wenzao ili wapate chochote, aibu!
 
Mbona wanahangaika na wanatumia nguvu kubwa sana kuzuia hisia za wengine?nisawa tunajua nikosa kisheria lakini mbona wana mfanya kama nimtu alie waua wale raia watatu waliokua wana dai umea wa Arusha kua ulichakachuliwa yaani wafungwa wanakimbia magereza na wanakwapua smg hamuwakamati!! Mwangosi anauliwa na maaskari hatua hazichukuliwii! Olimboka anang'olewa meno na plaiz na wahusika wanajulikana hawakamatwi!! Lakini kushabikia chadema ndio dhambi kubwa kuliko.na wanatwambia nchi inaamani na utulivu kweli!! Iposiku itafahamika na wajuu atakuja chini na wachini atakuja juju. Mjeda me nakuombea hawato weza kukunyong'onyesha utashinda maana haukua upande wa dhuruma
 
Kweli kaka. Polisi na jeshi kushabikia CCM ruksa ila kushabikia CDM ni dhambi. Kweli jeshi letu linaponzwa sana na magamba
Vumilia tu mwaJ, huyo masopakyindi ndiye mwana CCM aliyepikwa akapikika...halafu huyu utakuta ni mtu mzima, ana familia na wapo wanaomwita baba! mtu mzima ovyooo! Sasa fikiria kuwa ni mijitu type hii ndiyo imekamata nchi... inauza ndege yetu Tsh. 500,000, inapakia twiga wetu kuwapeleka Uarabuni halafu inakesha JF ikiwatetea wezi, mafisadi na wauaji!
 
Inabidi Mh Lema alipwe na apongezwe kwa kuwa bila yeye wangempataje? Kila siku yupo miaka mingi, police, jeshi kazi yao nn kazi ya Lema zaidi ya police jamii.
 
CDM inafuga majambazi wanaovalia sare za JWTZ.
Hii inaeleza historia zisizoeleweka za kina Lema na Nassari kabla ya ubunge!Huyo kijana aminywe vitu nyeti abaeleze yote.

Hii picha ya kukamatwa huyu jambazi imekuwapo muda sasa na si Mnyika wala CDM wametoa tamko la tukio hili.

Usiwe na akili za kuazimwa Kijana huyo ana athari kubwa kama unavyofikiria, kuna watu tunaowaita mafisadi hivi serikali ingetumia juhudi na nguvu nyingi kama hizi kuwakamata wale mafisadi wa RICHMOND, EPA,waliohifadhi fedha Uswiss na mengineyo kama hayo tungefurahia na kuiamini serikali yetu, hivi hadi leo ile kesi ya mbunge wa BAHI imeishia wapi? hivi jiulize nagepiga picha na kiongozi wa CCM angetafutwa na kukamatwa?
 
Vumilia tu mwaJ, huyo masopakyindi ndiye mwana CCM aliyepikwa akapikika...halafu huyu utakuta ni mtu mzima, ana familia na wapo wanaomwita baba! mtu mzima ovyooo! Sasa fikiria kuwa ni mijitu type hii ndiyo imekamata nchi... inauza ndege yetu Tsh. 500,000, inapakia twiga wetu kuwapeleka Uarabuni halafu inakesha JF ikiwatetea wezi, mafisadi na wauaji!

We acha tu, wanatia hasira sana. Mtu anadiriki kabisa kusema CDM inafuga majambazi yaani hayaoni majambazi wauaji wakubwa ndani ya system yao? Mbona askari aliyemuua Mwangosi na wale wa mauaji mengine hatukuoneshwa kukamatwa kwao na kupigwa pingu? Yaani watu wazima na akili zao wamebaki na issue moja tu ku-deal na askari aliyepiga picha na Lema! Khaaa! Kwani hiyo picha imemuua nani?
 
Back
Top Bottom