kwa hiyo wao sheria inawalinda eti eehee!Angekuwa polisi huyu kazi angekuwa hana kazi
Mgeshi akiwa anapunguza mawazo
Hii inaitwa evidence beyond doubts...! Angekufuma unamfotoa ccm ungeiita UKAWA
Wakurya hao, wao gongo na bangi kwao kawaida tu.
kamwamshe hapo akupe za chembe.
hizi simu hiz?!,yaani siku hizi ukigeuka tu "una naswa".
hapo mpiga picha alikuwa anatetemeka sana na kuogopa asishtukiwe na huyu mnyama!
Hawa jamaa hawa sio wa kuchezea!.... tena wenye chata ya MP.. Hmm!