Mwanajeshi akiuchapa usingizi

Mwanajeshi akiuchapa usingizi

it`s kill time and we are making the most of it.....
 
hapo mpiga picha alikuwa anatetemeka sana na kuogopa asishtukiwe na huyu mnyama!

Hawa jamaa hawa sio wa kuchezea!.... tena wenye chata ya MP.. Hmm!
i

Mlevi tu huyo, akikushtukia atakufanya nini mtu kaisha kwa gongo huyo. Tena wapo wengi tu huko uswahilini wanalitia aibu jeshi, wao kutwa kushinda kwenye chibuku tu, sijui mazoezi wanafanya saa ngapi!
 
Salamander nilikua namwongelea huyu aliyetupiwa na Wapoti kwenye post ya #20 . Unajua kwanini nimesema hivyo?

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Mgeshi akiwa anapunguza mawazo

Sasa Kama Vita Na Shuruba Hakuna Zaidi Tu Ya Kutupigia Misele Na Magari Yao Ya Pesa Walizopata Kutoka Sudan, Congo Na Comoro Wewe Ulitegemea Nini? Tena Bora Angelala Askari Mwingine Kapuku Tu Lakini Siyo Wa Dizaini Hiyo ktk Picha Kwani Hao MP Wanasifika Kwa Shuruba, Uvumilivu na Ukakamavu. Halafu Hilo Lisura Kama Nalifahamu Vile! Ngoja Niwazukie Washikaji Lugalo Pale Maeneo Ya Mesini Nikapate Data Kamili. Ana Sura Kama Ya KIHAYA au KIHA au MNYIRAMBA au MRANGI Kwani Kiasili Hao Ndio Huwa Mabwege Mabwege Na Mivivu........ Kagera, Kigoma, Singida Na Kondoa Oyeeeeeeeee............................!
 
hapo mpiga picha alikuwa anatetemeka sana na kuogopa asishtukiwe na huyu mnyama!

Hawa jamaa hawa sio wa kuchezea!.... tena wenye chata ya MP.. Hmm!

Hata Mimi Nimeshangaa Alimpigajepigaje? Ana Bahati Huyo MP Siyo Wa Poti Vinginevyo Angeisoma Dunia Ilivyo.
 
Back
Top Bottom