Mwanajeshi akiuchapa usingizi

Mwanajeshi akiuchapa usingizi

Huyu hana shida akilala...hawa wananlinda nchi kwa ujumla...mara ya mwisho ni vita ya Idd Amin dada...sasa unategemea afanye nini? Noma ni mapolis na vioja vyao wakati wanatakiwa kuwa macho wakati wote. Nawafagilia wanajeshi
 
Back
Top Bottom