Hana jipya anarudia tu uzushi aliyokwisha uandika huko nyuma, si unajua njia ya mwongo fupi.nilikuwa nikizungumza na ndugu yangu mmoja jioni hii akanambia kuwa eti gazeti la mwanahalisi limekuja kwa staili mpya mabapo eti kubenea anashusha habari nzito za uchunguzi kupitia gazeti la mseto linalomilikiwa na kampuni ya hali halis publishers na akanitolea mfano leo kuwa eti gazeti hili ambalo huwa ni mahsusi kwa ajili ya michezo headlne yake ilikuwa ni ya siasa na sio michezo.hili likoje jamani/naomba ufafanuzi
nilikuwa nikizungumza na ndugu yangu mmoja jioni hii akanambia kuwa eti gazeti la mwanahalisi limekuja kwa staili mpya mabapo eti kubenea anashusha habari nzito za uchunguzi kupitia gazeti la mseto linalomilikiwa na kampuni ya hali halis publishers na akanitolea mfano leo kuwa eti gazeti hili ambalo huwa ni mahsusi kwa ajili ya michezo headlne yake ilikuwa ni ya siasa na sio michezo.hili likoje jamani/naomba ufafanuzi