MwanaDiwani
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 5,536
- 2,264
Duh, EMT hii nayo kali. Hivi haya magazeti yanapatikana mtandaoni?.
Halikuwa na tofauti sana na hili
Halikuwa na tofauti sana na hili
Dah! Heko nalo lilikuwa gazeti?
La
udaku?
Watalifungia nalo...
wataogopa maana itakuwa ni persecution. sasa hivi balozi nyingi za ulaya zimeishikia bango manahalisi ifunguliwe. serikali haitaweza kurudia tena kosa! at least not immediately.
Namshauri ni bora afanye hivyo kuliko kusubiri m;samaha wa serikali ambao hatujui utakuja lini. Towards 1995 marehemu Ben Mtobwa alifanya hivyo wakati gazeti lake la Heko lilipofungiwa kwa muda. Alitumia gazeti lake jingine la Kalulu kuchapa habari ambazo zingechapwa na Heko.
wataogopa maana itakuwa ni persecution. sasa hivi balozi nyingi za ulaya zimeishikia bango manahalisi ifunguliwe. serikali haitaweza kurudia tena kosa! at least not immediately.
Na kiukweli, huwa wanalifuta tu lile neno MwanaHalisi, lakini kontent huwa zinahamia kwingine...Serikali ikiua adui mmoja inazalisha wengine 100, kufungwa kwa mwanahalisi ni kufungua midomo ya magazeti mengine...