MwanaHALISI laibukia MSETO... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MwanaHALISI laibukia MSETO...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by VUTA-NKUVUTE, Aug 1, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Katika kile kinachoonekana ni kufuata ushauri wa JF katika kuhakikisha kuwa wananchi wanaendelea kupata habari zenye mshiko,leo Gazeti dada la MwanaHALISI la Mseto limebeba makala ya kisiasa tofauti na kawaida ya gazeti hilo kusheheni michezo.

  Ukurasa wa mbele kabisa wa Mseto la leo kuna makala iliyoandikwa na Mhariri wa MwanaHALISI Comredi Jabir Idrissa yenye kichwa cha maneno 'Kilicholiponza MwanaHALISI ni hiki'.Katika makala hiyo,Idrissa anachambua kwakina makala zinazosemekana kuwa siliiudhi Serikali na kupelekea kufungiwa gazeti pendwa la MwanaHALISI.

  Wakati huohuo,Gazeti la RaiaMwema linaloongozwa na Gwiji wa Uandishi, Jenerali Ulimwengu aka Mzee wa G55, nalo limejitokeza katika toleo la leo kupinga ubabe wa Serikali kufungiafungia magazeti ya kiuchunguzi. Aluta Continua...


   
 2. Ben Mugashe

  Ben Mugashe Verified User

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 940
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Serikali ikiua adui mmoja inazalisha wengine 100, kufungwa kwa mwanahalisi ni kufungua midomo ya magazeti mengine...
   
 3. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #3
  Aug 1, 2012
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ...options zilivyokuwa nyingi siku hizi, sijui kama kufungia gazeti ni suluhu ya jambo!
  ...stamping hard on sh**t to cover will only spread it afar!! kalaghabao...
   
 4. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #4
  Aug 1, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Uwezi kuziba uhuru wa habari kwakufungia vyombo vya habari.....huu ni udikiteta nijinsi gani washahuri wa habari wasivyokuwa makini wakidhani ukifungia chombo cha habari utakuwa umejiosha kwa umma wa watanzania!!Kumbe ndo kwanza unawafumbua akili wakitaka kujua nini kimefanyika mpaka gazeti linafungiwa!!
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Aug 1, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,426
  Likes Received: 22,345
  Trophy Points: 280
  Kikwete jirekebishe wewe na njia zako, acha kuyasakama maghazeti yanayokosoa uovu wako
   
 6. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #6
  Aug 1, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,061
  Likes Received: 8,545
  Trophy Points: 280
  kwani anaeruhusu kuanzishwa magazeti mengine ni nani?au mtu yeyote anaweza amka asubuhi na kuanzisha gazeti?
   
 7. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #7
  Aug 1, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Ni kweli Mkuu...
   
 8. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #8
  Aug 1, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,061
  Likes Received: 8,545
  Trophy Points: 280
  hizi gumzo zinanikumbusha enzi ya magazeti kama motomoto,wakati ni huu,etc .

  This is the way the cook crumble.HAKUNA JIPYA HAPA.
   
 9. Anheuser

  Anheuser JF-Expert Member

  #9
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Serikali imefata sheria.
   
 10. Ben Mugashe

  Ben Mugashe Verified User

  #10
  Aug 1, 2012
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 940
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Sio kuanzisha gazeti ila kuzalishwa kwa waandishi wa aina ya Kubenea na Jabir wenye haya haya magazeti tuliyonayo. Hii nchi iko ICU
   
 11. M

  Miruko Senior Member

  #11
  Aug 1, 2012
  Joined: Feb 8, 2008
  Messages: 173
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Gazeti la Mwanahalisi leo limeibukia katika gazeti lake dada la michezo, Spoti Mseto. Limefafanua kwa kurasa tatu kilicholiponza hadi likafungiwa, na mambo kibao.
   

  Attached Files:

 12. yegella

  yegella JF-Expert Member

  #12
  Aug 1, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Ngoja nikalitafute...
   
 13. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #13
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Tunashukuru kwa taarifa. Ila tunakuomba ungeandika kwa ufupi sababu hizo kadhaa, ungetusaidia wana jamvi wengi. Wengine huku kijijini gazeti hili halifiki kabisa.
   
 14. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #14
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Loh chenga ya mwili
   
 15. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #15
  Aug 1, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kanisa la ufufuo pia lifungiwe!
   
 16. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #16
  Aug 1, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,830
  Likes Received: 10,142
  Trophy Points: 280
  nimeshalikosa pale kijiweni kwangu, nitumieni hata soft copy nitalipia bana, kwani buku kitu gani bana
   
 17. M

  MTK JF-Expert Member

  #17
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,960
  Likes Received: 2,837
  Trophy Points: 280
  The good thing is that TRUTH is devine, BUT falsehood is demonic; no matter how hard they try; TRUTH will preavail over falsehood, na laana ya unyama wao itawatafuna mmoja mmoja mpaka waishe. na hii ndio sala ya kila mzalendo wa nchi hii. hata wakifunga media houses zote na kuua kila anayezungumzia issue ya utekwaji na mateso ya Dr. ulli; ukweli uko wazi na utashinda tu.
   
 18. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #18
  Aug 1, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Asante kwa kutujulisha kumbe kila j5 tutakuwa tunakula habari za uchunguzi kama kawa.
  Mimi nawashauri hali halisi puplishers wasajili magazeti kama 10 hiviliwepo ggazeti kaka,mjomba,binamu,nkazamjomba,kilembwe,mjukuu,shangazi,shemeji nk ili likifungiwa moja tuendelee kupata habari.
   
 19. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #19
  Aug 1, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Yaani bora wangefungia magazeti ya she gongo, ndio yanayochangia kuharibu wanafunzi wetu! na kuandika upuuzi wa vyumbani. Utakuta wanafunzi katika mifuko yao hawakosi magazeti hayo wanaendanayo sconga wakifika huko meno njeee!
   
 20. t

  thatha JF-Expert Member

  #20
  Aug 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Naona kama Wanatapa tapa vile mbona kilichoandikwa kwenye Mseto ni copy & Paste ya kilichoandikiwa kwenye Mwanahalisi Jumatano iliyopita.
   
Loading...