MwanaHalisi ladai Ben Saanane huonekana kwa jamaa zake

Chama kikubwa ambacho kwenye uchaguzi mkuu mwaka jana kilikosa mgombea hadi ikabidi kisubiri makapi ya CCM, na makapi yenyewe mtu ambaye CHADEMA ilimwita baba la mafisadi kwa miaka tisa mfululizo. Nyie hamna maana kabisa.
Lakini sii mnaona alivyo wafanya na tena bila wizi wa kura mpaka saizi ccm ingekuwa inapumulia mashine.
 
Acha uzembe. Kubenea anayemiliki gazeti la Mwanahalisi ni mtu wa sirikali?
Acha umburula wewe!!! Siko na info ulizoona za Kubenea! Niko na system inayojipendekeza kw mfalme alieambiwa PhD yake fake ato hadharani aseme na ajibu hapa tuhuma dhidi yake............andiko lake linamilikiwa na mtu mwingine ambae ndio wanadai lake sio yeye!!!(kutoa kutu kwa kutumia maganda ya korosho).....sio andiko lake.......hilo ndio limemfanya wamempoteza tunaju amefichwa sehemu tu ambapo haoni jua wala usiku.....ni taaa tuu wana toture kisaikolojia! Tunajua!!!!! Acha umburula
 
makubwa hayo!
Huu uzi nitaufutilia kila comment inayoandikwa nitaisoma kwa makini sana
 
-->>KWA MTAZAMO WANGU ENDAPO ANAONEKANA SEHEMU SEHEMU,HAKIKA ANAJIHATARISHIA MAISHA YAKE,TUKUMBUKE HAPA KUNA PANDE MBILI,MOJA CHAMA NA MAADILI NA UAMINIFU WAKE KWA UMMA,MBILI BEN KAMA BEN NA AIBU YA CHAMA ENDAPO ATAPATIKANA NA KUELEZA NINI KILIMFIKA.
•ENDAPO KAMA UTAKUWA NI MPANGO WA CHAMA KUMFICHA LITAKALOTEKEA NI "CHAMA KUTOAMINIKA TENA NA KUONEKANA CHA KISANII",NA HAPA NDIPO -HATARI- ILIPO...!,JUU YA USALAMA WAKE.
(chama au Ben?)
 
endelea kupinga ukweli tu.Chadema inaanguka.
Kuzuia mikutano ya kisiasa haimanishi kwamba chadema mdio imeisha kufa. Kutok mwaka 1992 chadema inafanya mikutano ya kisiasa. Na watu chama wameisha kielewa eti leo ccm ije izuie mikutano ya kisiasa halafu itegemee chama kitakuja kufa. Huo kama sio upumbavu ni nini.
 
Kuzuia mikutano ya kisiasa haimanishi kwamba chadema mdio imeisha kufa. Kutok mwaka 1992 chadema inafanya mikutano ya kisiasa. Na watu chama wameisha kielewa eti leo ccm ije izuie mikutano ya kisiasa halafu itegemee chama kitakuja kufa. Huo kama sio upumbavu ni nini.
Kwani chadema ni Chama Cha siasa?
 
Back
Top Bottom