MwanaHalisi ladai Ben Saanane huonekana kwa jamaa zake

Wewe kwanza ni mmoja wa wale watu wasio oga ukakatazwa kukanyaga DAR na MAKONDA
 
Imekuwa ni kawaida ya chadema kuungana na mabeberu na kuanza kuombea mabaya nchi yetu. Pamoja na maombezi yao hayo bado laana ipo upande wa chadema tangu kutoka rais Magufuli aingie madarakani miaka minne iliyopita.

Kila wakiombea uchumi ushuke ndiyo kwanza unapanda.

Kila wakiombea tushitakiwe MIGA ndiyo kwanza Barrick wanakuja kusaini mikataba mipya yenye manufaa kwa watanzania wote.

Kila wakisingizia serikali ya Magufuli ina fanya mauaji ndiyo kwanza Saed Kubenea anawaumbua kwenye magazeti yake kwamba Ben Saanane anaonekana kwenye vijiwe vya kahawa mitaa ya UFIPA.View attachment 1344165View attachment 1344166

Sent using Jamii Forums mobile app
We endelea kukomaa na Chadema wakati Zito na Pompeo wanazidi kuwashika pabaya.

Uwanja wa wanaowapinga umeongezeka
 
Back
Top Bottom