KOMBAJR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 5,827
- 1,271
Umesomea chuo gani cha habari Mwanahabari mwenzangu.?
Lumumba Leta Hoja!:lock1:
Umesomea chuo gani cha habari Mwanahabari mwenzangu.?
Mbadilike ndugu zangu sasa mnaonekana mu wabinafsi mpaka mnakera.Yaani mtu maarufu akijiunga CCM kama ni mwanamke tayari hamkawii kumzushia kuwa ni chakula cha akina flani lakini angejiunga na Chadema ungeanza kumsifia kama unavyomsifia Joyce Kiria leo hii ila ngoja Bi Joyce naye ahame Chadema nina uhakika kasoro zake ndio mtaziona siku hiyo.To add,Hata Chadema Makada wanawake wanagegedwa sana na Viongozi wakuu au mmesamhau Mh Joyce Mukya?Na Grace Kiwelu je?Tufanye siasa za hoja tuachane na siasa za kuchafuana kwasababu hazijengi.Machafu yanayofanywa na MaCCM na hata Viongozi wa Chadema wanayafanya hayo hayo na ndio maana baadhi yetu haitatokea tukawaunga mkono baadhi ya Viongozi Chadema kwasababu kitabia na kimienendo hawana tofauti kabisa na hawa tunaowachukia wa CCM
na mimi nikijiuunga na ccm mtanifanyia mapokezi na hafla?
Hiii POST yako ni #12 hapo juu nimetafuta mtu aliyepinga au kukandia au kusema lolote baya kuhusu ujio wa huyu dada kwa MACCM sijaona.
Je ndugu yanhu wewe umeyatoa wapi maneno haya?
au ulishahandaliwa kupost haya ukitegemea watu wataponda? watu wamepongeza sana na wanamtakia kila laheri huko kwa MACCM maana wengine huwa hawamini hadi waone/wajionee wenyewe.

Karibu nyumbani dada Mboni
2015 utasikia ni mbunge wa viti maalumu.
sio bure. Lazima watakuwa wamempa ofa ya maana kuwahoji viongozi wa ccm na kusafisha jina. Hamna kingine kipya hapo. Na uchaguzi unavyokaribia we angalia vipindi vyake kuanzia sasa. Siasa za bongo hazina akili kubwa hususani zikiwa zinaongozwa na ccm
kwanza mboni si mwanahabari ni mwanamke "mpigaji"....usituharibie tasnia yetu pendwa!
Ndiye aliyemburudisha Etoo kipindi kileeeee.
Huyu naye keshakuwa maarufu wa kutengeneza habari?!kweli kabisa!?
mkuu hebu niweke vizuri ni yule mboni aliye andikwa na vyombo vya habari kwamba alisaidia kumlegeza magoti eto'o mpaka hakutufunga ndio huyu.?