Mwanahabari na icon ya wanawake wenye uthubutu "Mboni Masimba" kujiunga na CCM

Mmoja wa wanahabari maarufu na muendeshaji wa kipindi maarufu cha mboni show kinachooneshwa na kituo cha television cha East Africa TV, mjasiriamali na icon maalum ya wanawake wenye uthubutu katika nchi ya tanzania na Africa kwa ujumla Mboni Masimba ametangaza kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Mboni amefikia uamuzi huo baada ya kutathimin hali ya siasa hapa nchini na kuona kuwa chama pekee chenye msimamo na sura ya utaifa ni CCM na kwamba vyama vingine vinaendeshwa kibabaishaji na upendeleo wa waziwazi. "Unajua mimi nimekaa muda mrefu bila kujiunga na chama chochote cha siasa nikiwa nafanya tathmin juu ya hali ya siasa na hivyo baada ya kujiridhisha kuwa Chama Makini ni CCM ndipo nimeamua sasa kujiunga nacho." Alisema Mboni.

Tukio la kumkaribisha Mwanamke huyo ambae ni muwakilishi wa wanawake wajasiriamali, wanahabari na wenye uthubuti nchini litafanyika hivi karibuni baada ya mapumziko ya sikukuu za christmass na Mwaka mpya.

Mapokezi hayo yatakayoambatana na ghafla fupi yatafanyika jijini Dar es salaam katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi Lumumba ambapo katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi Mhe. NAPE NNAUYE ataongoza mapokezi hayo ya kada huyo mpya wa Chama Cha Mapinduzi.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.

Kwanza Mboni si mwanahabari ni mwanamke "mpigaji"....usituharibie tasnia yetu pendwa!
 
Am sjure atakuwa kavuta vya kutosha na kaenda kuongezea wenzake kumfuata ni kumpa ulaji zaidi .Wait and see anapata cheo sasa hivi na CCM original wao watakuwa hoi .
 
hahahahahaha.... ccm na vichekesho vyao!!!! Yaani muuza nanihii pale Serena Hotel na sasa amepigwa marufuku kukanyaga ule mlango wa serena, oooh huyo anagawa hiyo nyapsi hapa mjini na imekuwa sugu kwasasa. CCM ni zoa zoa.
 
dah mtoa mada unajaribu kujiongezea comments tu.
Then huyo Mboni amethubutu nini?
Na pia unamtaja ati kuwa ni mmoja ya waandishi na mjasiliamali Barani Efrica...duh

Ok ukimuona Nakaaya msalimie saana.
 
Mbadilike ndugu zangu sasa mnaonekana mu wabinafsi mpaka mnakera.Yaani mtu maarufu akijiunga CCM kama ni mwanamke tayari hamkawii kumzushia kuwa ni chakula cha akina flani lakini angejiunga na Chadema ungeanza kumsifia kama unavyomsifia Joyce Kiria leo hii ila ngoja Bi Joyce naye ahame Chadema nina uhakika kasoro zake ndio mtaziona siku hiyo.To add,Hata Chadema Makada wanawake wanagegedwa sana na Viongozi wakuu au mmesamhau Mh Joyce Mukya?Na Grace Kiwelu je?Tufanye siasa za hoja tuachane na siasa za kuchafuana kwasababu hazijengi.Machafu yanayofanywa na MaCCM na hata Viongozi wa Chadema wanayafanya hayo hayo na ndio maana baadhi yetu haitatokea tukawaunga mkono baadhi ya Viongozi Chadema kwasababu kitabia na kimienendo hawana tofauti kabisa na hawa tunaowachukia wa CCM
Inashangaza sana enzi hizi mtu kuhamia ccm,sio bure kuna deal ananyemelea ... Yaani nashindwa kupata picha,kwa lipi hasa... ccm hii inayofilisi nchi? imeuza kila kitu na sasa tunaishi kwenye madeni huku wachache ... top layer wakiishi kama mbinguni kwa jasho la wengine? aslaaaaaaaaaaaaleeeee!!!
 
Mmoja wa wanahabari maarufu na muendeshaji wa kipindi maarufu cha mboni show kinachooneshwa na kituo cha television cha East Africa TV, mjasiriamali na icon maalum ya wanawake wenye uthubutu katika nchi ya tanzania na Africa kwa ujumla Mboni Masimba ametangaza kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Mboni amefikia uamuzi huo baada ya kutathimin hali ya siasa hapa nchini na kuona kuwa chama pekee chenye msimamo na sura ya utaifa ni CCM na kwamba vyama vingine vinaendeshwa kibabaishaji na upendeleo wa waziwazi. "Unajua mimi nimekaa muda mrefu bila kujiunga na chama chochote cha siasa nikiwa nafanya tathmin juu ya hali ya siasa na hivyo baada ya kujiridhisha kuwa Chama Makini ni CCM ndipo nimeamua sasa kujiunga nacho." Alisema Mboni.

Tukio la kumkaribisha Mwanamke huyo ambae ni muwakilishi wa wanawake wajasiriamali, wanahabari na wenye uthubuti nchini litafanyika hivi karibuni baada ya mapumziko ya sikukuu za christmass na Mwaka mpya.

Mapokezi hayo yatakayoambatana na ghafla fupi yatafanyika jijini Dar es salaam katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi Lumumba ambapo katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi Mhe. NAPE NNAUYE ataongoza mapokezi hayo ya kada huyo mpya wa Chama Cha Mapinduzi.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.

sisi tunajua mtu anayependa kuonekana na kujioneshaonesha anapenda watu wa mtindo wake tunamkaribisha sana karibu mama katika chama chetu
 
Karibu nyumbani dada Mboni

Nyumbani? kwani alikuwa hayuko nyumbani? alikuwa anaishi misituni na hicho kipindi chake ?

MBONA WENGI NDANI ya CCM TUNA RAHA? na HATUSUMBULIWI? HATUNYANYASIKI?

1477378_277233149092467_1129686264_n.jpg
 
karibu sana CCM mboni....hilo ndo naloweza kusema......mwanaharakati, aliyethubutu hizi sifa za kipambe wala hazitatusaidia ccm
 
Kabla ya Hapo alikuwa wapi? kama halikuwa hana chama hii cyo NEWS!:der:

alisha kuwa ccm kitambo sana huyu mbona hii sio habari mpya ?? Hata mzee masimba ni kada wa ccm maarufu ,kafuata vya bure huyu hawezi kuwa kamanda hata siku moja CHADEMA inachukua wapambanaji sio wataka ofa za ccm .
 
Inashangaza sana enzi hizi mtu kuhamia ccm,sio bure kuna deal ananyemelea ... Yaani nashindwa kupata picha,kwa lipi hasa... ccm hii inayofilisi nchi? imeuza kila kitu na sasa tunaishi kwenye madeni huku wachache ... top layer wakiishi kama mbinguni kwa jasho la wengine? aslaaaaaaaaaaaaleeeee!!!

Mbona hata katika Chadema yetu wenyewe Viongozi wanapiga fedha zetu za harambee na michango?Umesahau yule Kiongozi flani aliyepiga zaidi ya 140,000,000 ishu yake ilipoanikwa hadharani akakimbilia kujitetea kuwa alijikopesha.Mafisadi hawapo CCM tu peke yake hata katika Vyama vya Upinzani wapo pia sema hawa wa Upinzani they are easily getting away with their crimes because many Tanzanians pay a great of attention to the ruling party.Baadhi ya whistle-blowers ndani ya hivi Vyama wamejaribu kutu-alert kile kinachoendelea huko lakini wakaishia kuitwa majina mengi ya ajabu na hata kufukuzwa,Cha kustaajabisha baadhi yetu tumekubali kuwa accomplice wa Criminals against these whistle-blowers!
 
dah mtoa mada unajaribu kujiongezea comments tu.
Then huyo Mboni amethubutu nini?
Na pia unamtaja ati kuwa ni mmoja ya waandishi na mjasiliamali Barani Efrica...duh

Ok ukimuona Nakaaya msalimie saana.

mkuu kwani umesahau ule usemi wa ganda la mua la jana chungu kaona vuno?? Mbona alisha uwa na element za kujipendekeza ccm toka kitambo sna,mboni hawezi kuwa mpigania haki huyu ni wakujipendekeza sana huyu sie tunamfahamu hatupati shida naye.
 
Mbona hata katika Chadema yetu wenyewe Viongozi wanapiga fedha zetu za harambee na michango?Umesahau yule Kiongozi flani aliyepiga zaidi ya 140,000,000 ishu yake ilipoanikwa hadharani akakimbilia kujitetea kuwa alijikopesha.Mafisadi hawapo CCM tu peke yake hata katika Vyama vya Upinzani wapo pia sema hawa wa Upinzani they are easily getting away with their crimes because many Tanzanians pay a great of attention to the ruling party.Baadhi ya whistle-blowers ndani ya hivi Vyama wamejaribu kutu-alert kile kinachoendelea huko lakini wakaishia kuitwa majina mengi ya ajabu na hata kufukuzwa,Cha kustaajabisha baadhi yetu tumekubali kuwa accomplice wa Criminals against these whistle-blowers!

huan ukijuacho na wewe ni mpiga porojo tu sampuli ya ZZK
 
Mmoja wa wanahabari maarufu na muendeshaji wa kipindi maarufu cha mboni show kinachooneshwa na kituo cha television cha East Africa TV, mjasiriamali na icon maalum ya wanawake wenye uthubutu katika nchi ya tanzania na Africa kwa ujumla Mboni Masimba ametangaza kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Mboni amefikia uamuzi huo baada ya kutathimin hali ya siasa hapa nchini na kuona kuwa chama pekee chenye msimamo na sura ya utaifa ni CCM na kwamba vyama vingine vinaendeshwa kibabaishaji na upendeleo wa waziwazi. "Unajua mimi nimekaa muda mrefu bila kujiunga na chama chochote cha siasa nikiwa nafanya tathmin juu ya hali ya siasa na hivyo baada ya kujiridhisha kuwa Chama Makini ni CCM ndipo nimeamua sasa kujiunga nacho." Alisema Mboni.

Tukio la kumkaribisha Mwanamke huyo ambae ni muwakilishi wa wanawake wajasiriamali, wanahabari na wenye uthubuti nchini litafanyika hivi karibuni baada ya mapumziko ya sikukuu za christmass na Mwaka mpya.

Mapokezi hayo yatakayoambatana na ghafla fupi yatafanyika jijini Dar es salaam katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi Lumumba ambapo katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi Mhe. NAPE NNAUYE ataongoza mapokezi hayo ya kada huyo mpya wa Chama Cha Mapinduzi.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.

Ameamua kuvaa gamba ili asife njaa
 
asha ahidiwa maisha na pesa za sisi wafujajasho.
 
Huyu si ndio kiburudisho cha wasanii na wachezaji wa nje wanaokuja TZ!! viwanja vyake vya kutega ni maeneo ya serena.....
 
Mmoja wa wanahabari maarufu na muendeshaji wa kipindi maarufu cha mboni show kinachooneshwa na kituo cha television cha East Africa TV, mjasiriamali na icon maalum ya wanawake wenye uthubutu katika nchi ya tanzania na Africa kwa ujumla Mboni Masimba ametangaza kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Mboni amefikia uamuzi huo baada ya kutathimin hali ya siasa hapa nchini na kuona kuwa chama pekee chenye msimamo na sura ya utaifa ni CCM na kwamba vyama vingine vinaendeshwa kibabaishaji na upendeleo wa waziwazi. "Unajua mimi nimekaa muda mrefu bila kujiunga na chama chochote cha siasa nikiwa nafanya tathmin juu ya hali ya siasa na hivyo baada ya kujiridhisha kuwa Chama Makini ni CCM ndipo nimeamua sasa kujiunga nacho." Alisema Mboni.

Tukio la kumkaribisha Mwanamke huyo ambae ni muwakilishi wa wanawake wajasiriamali, wanahabari na wenye uthubuti nchini litafanyika hivi karibuni baada ya mapumziko ya sikukuu za christmass na Mwaka mpya.

Mapokezi hayo yatakayoambatana na ghafla fupi yatafanyika jijini Dar es salaam katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi Lumumba ambapo katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi Mhe. NAPE NNAUYE ataongoza mapokezi hayo ya kada huyo mpya wa Chama Cha Mapinduzi.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.

Duh, kweli huyo keshapangiwa pedeshee,hivi na mi mtembeza mitumba nikija mtafanya sherehe?aumnaangalia sura hasa mademu maarufu?
 
Back
Top Bottom