Mwanafunzi wangu amenidhalilisha

Nashukuru sana mkuu kwa tathimini iliyo balanced.
 
fuga ndefu, acha kuonyesha onyesha simu kwa wanafunzi na hasa kujipigapiga selfie huku wakiona-inasemekana wanaume wanaopeda kujipiga/au kupigwa picha wana genes za kike
Sikumbuki lini nilipiga selfie
 
Daah, pole sana. Ila hongera kwa kuwapa counselling. Maana angekuwa mwingine hapo walishachezea mpaka ngumu.
 
Reactions: B40
Ningewaambia "Peale, Speak English"
 
Asante ila nilifikiria kuacha kufundisha hillo darasa
Hapana mkuu ni utoto wao tu.
Binamu yangu wa like aliwahi niambia *mama ni mjoma sema mjomba anavaa suruali* akieleza jinsi mama yake alivyofanana na mjomba wake..ni tabia za kawaida kabisa yaani...
 
Reactions: B40
Hapana mkuu ni utoto wao tu.
Binamu yangu wa like aliwahi niambia *mama ni mjoma sema mjomba anavaa suruali* akieleza jinsi mama yake alivyofanana na mjomba wake..ni tabia za kawaida kabisa yaani...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
 
Wala hamna tatizo hapo, hao ni watoto tu. Huwa wana tabia ya kudadisi na kutaka kujua mengi. Sema wanadadisi kwa namna mbali mbali, Wala hawajui kwa nini kuna mwanaume na mwanamke mkuu... Huwa wanaongea tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…