Mwanafunzi wa TIA Singida ajichoma kisu kisa Mapenzi

Mwanafunzi wa TIA Singida ajichoma kisu kisa Mapenzi

Hayo ndio mapenzi niuwe mhh kazi kweli kweli.
 
Bado mzima hajafa anatibiwa. Akipona apelekwe mahakamani kwa kosa la kutaka kuondoa uhai
 
Tuangalie upande na upande wa pili isijekuwa amechomwa.

Mbaya zaidi aliemsababishia kifo(mpenzi wake) mwenzake anaendelea kupuyanga na totoz nyingine
 
Ni upuuzi kujitanguliza peponi kwa kisingizio cha mapenzi...kama akinusurika ni wa kucharazwa bakora! Na awaombe radhi,ndugu,jamaa,marafiki na taifa kwa kitendo alichofanya!
 
Back
Top Bottom