figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,814
- 63,273
Kweli mapenzi ni kitu kingine kabisa. Mwanafunzi huyo ameamua kujichoma kisu kisa mapenzi. Amekufa jana mchana sababu alijichoma usiku wa kuamkia jana.
==============================
UPDATES
Huyu mgonjwa hajafa, anaendelea na matibabu Hospitalini.
Mia
==============================
UPDATES
Huyu mgonjwa hajafa, anaendelea na matibabu Hospitalini.
jamani habari hii imepotoshwa si kweli kwamba amekufa yeye bado ni mzima na anaendelea vizuri na matibabu hospitali ya mkoa singida.ila uamuzi aliochukua sio sahahihi.asubuhi tulifika kumuona hospitali.
Mia