sr bachelor
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,198
- 800
Mbona anaumbo zuri mno..kitovu kizuri mno dah..
ndiyo maana, mkuu cauz hawa wenzetu wanajifanya wanajua sana kupenda.
Mbona anaumbo zuri mno..kitovu kizuri mno dah..
Mkuu mtoto mzuri hivi..mtu anakuwa anamzingua kweli watu hawana maana kabisa..mkuu huyo jamaa anaemtesa huyu bidada mzuri hivi nataka nimuone.. haifai kabisa.. mtt mwenyewe kisu balaa.
Hahaha Eli79 unafaa jua mshenga! hahahaha!
Mambo shwari tu, siko bongo ndio maana sijamtoa bibie brenda18 kwa ile lunch, ambayo na uhakika itaenda kuwa dinner na possibly breakfast! :A S wink::A S wink: So I would silently advise brenda18 to carry some extra clothes incase.... you know... maybe atajimwagia wine labda!
Namwona kwa whatsapp hapa in a red dress, dah, Hatareeee!
Nimetamani ningekuwa kwenye hiyo team ya kuliungurumisha hilo liexplorative laparatomy kurepair hizo visceral.
picha sina ila nimeongea na mtu anayesoma huko na anakaa karibu na hostel anayo kaa huyo mdada
Nina Wax Wax Na Iq Yake
Dah kati ya kitu ambacho sijawahi fikiria basi ni kutoa uhai wangu
eti ufe umuache anakula raha tena na wazuri kukushinda......nikiamua hivyo nahakikisha kuwa anakufa kwanza yeye lol