OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Lengo lilitimia au kachagua sehemu nzuri??!!
Aisee.... Nmekumbuka mwaka 2003 dada mmoja jiran yetu alikunywa sumu baada ya kugundua anaujauzito wakat bado yupo shule.
Alikunywa akiogopa kipigo kutoka kwa baba yake kwasababu baba yake alikuwa katili sana.
Sasa baada ya baba ake kupata taarifa kuwa mwanaye amekunywa sumu huku akiwa na uja uzito yule mzee akawahi kumwingiza huyo mtoto wake ndan na akisamama mlangon huku ameshika mkuki na panga akiwatishia na kuwazuia watu waliotaka kumpa huduma ya kwanza mwanaye na kumpeleka hospitali.
Mzee alikomaa akisema mwachen afe kwasababu yeye ndio ameamua kwahyo staki kumuona mtu hapa kwangu
Tusalimie huko uwendako waambie huku kitaa tangu enzi za Adam na Hawa mapenzi yanaendelea kutunyanyasa.
kama hivyo inabidi afunguliwe mashata ya kutaka kujia kwa kukusudia,nyambaaaafuuuHuyu demu bado hajafa
Ha ha ha... brenda18 niseme nini sasa... I'm officially the best man here!!Hahaha Eli79 unafaa jua mshenga! hahahaha!
Mambo shwari tu, siko bongo ndio maana sijamtoa bibie brenda18 kwa ile lunch, ambayo na uhakika itaenda kuwa dinner na possibly breakfast! :A S wink::A S wink: So I would silently advise brenda18 to carry some extra clothes incase.... you know... maybe atajimwagia wine labda!
Namwona kwa whatsapp hapa in a red dress, dah, Hatareeee!
Mkuu ni jinsia ya kike. Mia
Ha ha ha... brenda18 niseme nini sasa... I'm officially the best man here!!
Good luck bwana..haijalishi upo wapi, she'll come for you.
Brenda usiniangushe sista..!