Mwanafunzi wa TIA Singida ajichoma kisu kisa Mapenzi

Mwanafunzi wa TIA Singida ajichoma kisu kisa Mapenzi

kuna uhakika gani kuwa ndiyo amejichoma mwenyewe? au amechomwa na mpezi wake au na mtu mwingine yeyote ?ni vema kuwa na taarifa sahihi maana vyote vina wezekana....
 
kisu chenyewe vilivyo butu hivyo akajisokonyolea mpaka tumboni duh kweli mahaba niue.... ila kana kaumbo kazuri jamani

jajajajajjaaajajaj..we mtoto una macho wewe, maskini wa mungu kabinti haka sjui kalitoa wapi roho mbaya hii ya kujiuwa!! mtoto mzuri kabisa na kaumbo kenye mvuto, aisee!
 
Mmmmhhh mdadada anaroho ngumu huyu jaman mmmhh siwezi daaaa mdada mzuri hivi ajiue kirejereja tu hakika mapenzi ni nyoko
 
Inasikitisha sana kuona Mwanafunzi anachukua maamuzi magumu kama haya.
Mapenzi ndio yalivyo lakini swala la kujitoa uhai ni swala zito sana.
Anyway TIA Singida ndio tuliokuwa intake ya kwanza kusoma certificate pale mwaka 2002/2003. Napakumbuka sana kwa vituko vilivyokuwa vinatokea enzi hizo kipindi tunasoma.....
 
kuna uhakika gani kuwa ndiyo amejichoma mwenyewe? au amechomwa na mpezi wake au na mtu mwingine yeyote ?ni vema kuwa na taarifa sahihi maana vyote vina wezekana....
Angesema. Sio kwamba amejichoma na kufa hapo hapo. Mia
 
Tofauti na ukichaa wa mtu mimi sidhani kuna kitu kingine uchoweza kujiua kisa ngono!!! tena huyo atakuwa wa iringa


Ukome wewe, mshakariri watu wa Iringa, acha umbulula wewe!
 
Uyo mdada atakuw amechomwa iko kisu na sio kajichoma coz haiwezekani ajichome mwenyew ajishindilie kisu kiasi icho halafu mbona kisu akijatoka kwny position kama kwel kajchoma hii ingetokana na maumivu na zile struggle bt i stand to be correctd
 
jaman wanasema HAJAFARIKI ila yupo hospital

hata mimi navyomuona hapo kwenye picha ni kama hajafa! anaonekana ndiyo kwanza kafika hosptl anasubiri huduma, na kwa huduma zetu za bongo mtu anaweza kufia hapo eti, watu wanapiga picha kwanza!
 
Back
Top Bottom