Mwanafunzi wa kiume SAUT afanyiwa Operation.

get well soon mgonjwa. wa kujifunza na wajifunze.......
Masikini ya Mungu huko nyuma kama aliwahi kumshauri dada atoe ujauzito wake nafikiri atajuta maisha yake yote. Sijui kwanini watu wanaendelea kutumia haya makitu kwani haiishi wiki bila kusikia maafa yatokanayo na midawa hii.
 
Mwanamke akiamua kukuliza anakuliza tuuuu...waliahidiana kukutana...jamaa kaandaaa risasiiiiii..... Binti kaingia mitini...BIG RESULTS (kawa hanisi)

Nadhani vijana wengi wana tatizo la kutokuwa na mbegu/manii ya kutosha...goli moja tu kwishneyyyy.....ndo wanaamua kutumia viagra

Kiongozi! hii nimegonga Like, umeyatendea haki maelezo yak
 
Masikini ya Mungu huko nyuma kama aliwahi kumshauri dada atoe ujauzito wake nafikiri atajuta maisha yake yote. Sijui kwanini watu wanaendelea kutumia haya makitu kwani haiishi wiki bila kusikia maafa yatokanayo na midawa hii.
sasa kama ni mwanafunzi sijui kama alishakuwa na familia
 
mmh! Hivi kumbe hata dawa ya kurefusha mpini lazima mpenzi atokee!!! Halaf DEMBA umeskia madaktari walichosema eee haya sasa Kaizer usipate tabu tena.

mh kuna watumiaji wa hii dawa humu ndani?
 
Last edited by a moderator:
Hadithi haina mantiki.....
Kama uume ulisimama kwa kukosa uke ufumbuzi ni kukata? Yaani wasingeweza kupata msamaria mwema au muuzaji?
 
Kuna uhusiano gani kati ya dawa ya KUREFUSHA na KUSIMAMA kwa hicho kifaa cha uzazi?
 
Hii story ilivyokaa ina maswali mengi sana ... Mshipa wa uzazi ndo upi..?! Anayetoa ruhusa ya operation ni mkuu wa idara bila hata ya mzazi.. ?!?! etc...
Paragraph ya mwisho ndo haieleweki kabsa!

mkuu kwani kwenye hii story kuna paragraph?
 
Story ya kijiweni tu hii.

Priapism na mishipa ya uzazi wapi na wapi? By the way, mishipa ya uzazi ndio nini?
Nadhania anachomaanisha hapa si mishipa ya uzazi bali ya damu inayosaidia mboo kusimama

hivi kuna procdure kweli ya kurepair situation hii ?
 
Back
Top Bottom