Mwanafunzi wa kiume SAUT afanyiwa Operation.

Nadhania anachomaanisha hapa si mishipa ya uzazi bali ya damu inayosaidia mboo kusimama

hivi kuna procdure kweli ya kurepair situation hii ?

Procedure ipo ambayo ni kufyonza damu na kuinject dawa inayostimulate "fight or flight" body reactions. Lakini procedure hii haina uhusiana na uwezo wa mtu kupata mtoto in two ways. Kwanza haiathiri testes which means that sperm production itaendelea kama kawaida, lakini pia haizuii "mashine" kusimama in the future. Ndio maana hii story ni ya kijiweni tu ambayo haina ukweli wowote. Hizo story ya MKUYATI tumezisikia sana vijiweni...
 
agreed on issue ya fertility, maana hata "harvesting" can work, as long as the factory is still operational, ila issue ya erection bado sidhani kama ianwezekana endapo watakata badala ya kufyonza
 
Mwanamke akiamua kukuliza anakuliza tuuuu...waliahidiana kukutana...jamaa kaandaaa risasiiiiii..... Binti kaingia mitini...BIG RESULTS (kawa hanisi)

Nadhani vijana wengi wana tatizo la kutokuwa na mbegu/manii ya kutosha...goli moja tu kwishneyyyy.....ndo wanaamua kutumia viagra

Haya bana hii ndo BRN
 
agreed on issue ya fertility, maana hata "harvesting" can work, as long as the factory is still operational, ila issue ya erection bado sidhani kama ianwezekana endapo watakata badala ya kufyonza

Hawana sababu ya kukata. Damu iliyokuwa engorged iko kwenye corpus cavernosus ambayo sio msipa mmoja. Tatizo hili linaweza kusababishwa kwa namna mbili, either njia ya damu kuondoka kuwa imeziba au damu kuja nyingi kwa wakati mmoja. Hii ambayo inasababisha maumivu mara nyingi husababishwa na njia kuziba. Kwa hiyo hapo hakuna kitu cha kukata. Kinachofanyika ni kufyonza damu iliyokuwa kwenyu corpus cavernosus. Corpus cavernosus iko kama godoro hivi umbo lake, ina vitundu vingi ambavyo vikijaa damu ndio mashine inasimama, ukiitoa iho damu mashine inaenda chini. Kwa hiyo hakuna cha kukata.
 
Great

this is where i would love you to be... productive articulate and focused.... siasa haikufai, you are burning too many bridges, just like your cousin Yericko Nyerere:shocked:
 
Duuu ni hatari tatizo watu wanataka kufanya mapenzi kama kazi,mapez ni raha sio karaha fanya kwa afya tu
Na upendo ukiwepo mwanaume hata akuwekee kidole tu lazima uridhike mengine mbwembwe tuu
 
Back
Top Bottom