Mwanafunzi wa kiume SAUT afanyiwa Operation.

Story ya kijiweni tu hii.

Priapism na mishipa ya uzazi wapi na wapi? By the way, mishipa ya uzazi ndio nini?

Nenda pale Bugando uulizie mimi sio daktari ila wamekata mishipa inayo-connect kati ya uume na baada ya kuikata Uume ukasinyaa, wazazi wake walifika ila baba ndo aliruhusiwa kumuona na kwenda kushauriana na mama yake ndo wakatoa go-ahead. kwa Taarifa zaidi fika hapa Bugando.
 
Hii story ilivyokaa ina maswali mengi sana ... Mshipa wa uzazi ndo upi..?! Anayetoa ruhusa ya operation ni mkuu wa idara bila hata ya mzazi.. ?!?! etc...
Paragraph ya mwisho ndo haieleweki kabsa!

Mkuu nimeifupisha tu, ila wazazi walifahamishwa na wakaja wote yaan baba na mama ila baba ndo aliruhusiwa kumuona na kwenda kumwambia mzazi mwenzie na ndo ikabidi watoe go-ahead. Kwa Taarifa zaidi fika hapa Bugando ila nadhani amisharuhusiwa kwenda home.
 
Hizi ni habari za njiani ambazo kila mtu anaweza kuzisema. Ni mishipa gani iliyokatwa? Ingekuwa hivyo wale wa sickle cell wote wangekuwa hawana penis

jamani mbona hivi, mimi siyo daktari na hiyo siyo fani yangu ila daktari aliyemfanyia operation ni kaka yangu ndo amenieleza na kunipa mawaidha kuwa nisijaribu kutumia hayo madawa.
 
Pole sana kwake. Kwahiyo akipona hawezi kunanihii tena. Mungu aniepushe na balaa hili. Maana papuchi ina raha yake
 
mwanafunzi wa saut jana linahifadhiwa amefanyiwa operation baada ya kunywa dawa kali inayodhaniwa ni ya kurefusha uume wake, baada ya kutumia dawa hiyo ndipo mpenzi wake hakutokea na kwa maelezo ya madaktari ni kunywa alitumia dawa nyingi sana, kwa siku tatu mfululizo uume wake ulikuwa umesimama sana, ndipo akabidi apelekwe hospitali ya bugando, madaktari wa bugando walipompokea walimpigia mkuu wao wa idara ili kupata ushauri wake wa nini cha kufanya, baada ya mkuu wa idara kufika na kumuona mgonjwa na kupata maelezo yao yeye akawauliza "mnasubiri nini kumfanyia operation"? Kateni mishipa!! Ndipo mara moja mwanafunzi huyo akakatwa mishipa yake ya uzazi.

Hivyo kwa mujibu wa madaktari, kijana huyu hatakuwa na uwezo wa kupata mtoto wala kushiriki tendo la ndoa.

Madaktari wamesema kuwa, kisayansi, hakuna mwanaume anayeweza kumridhisha mwanamke zaidi ya yeye mwenyewe kuumia tu.

huo ndo ukweli,,nyama ile ni elasticaterial eti,,,
 
Nenda pale Bugando uulizie mimi sio daktari ila wamekata mishipa inayo-connect kati ya uume na baada ya kuikata Uume ukasinyaa, wazazi wake walifika ila baba ndo aliruhusiwa kumuona na kwenda kushauriana na mama yake ndo wakatoa go-ahead. kwa Taarifa zaidi fika hapa Bugando.

Kwa hiyo hapo bugando ndo wanatoa siri za wagonjwa wao?
 
Yani hakupatikana changudoa wa Vila park wa kushusha huo munkari?
images
 
mmh! Hivi kumbe hata dawa ya kurefusha mpini lazima mpenzi atokee!!! Halaf DEMBA umeskia madaktari walichosema eee haya sasa Kaizer usipate tabu tena.

mkuu Mapi mbona mimi sina matatizo......kitu kinaenda natural na baby DEMBA is happy like never before.....mtuwache tupumue
 
Last edited by a moderator:
Tatizo baadhi yetu tunashindwa kujua SEX is an art. Mtu anadhani akipiga show kwakutumia miguvu (either yakwake naturally au yakuboost na dawa au kilevi) huku aking'ata meno utadhani anaendeshaa baskeli ya wizi ndo kuridhishana kitandani. Jamani, is an art, hayo mambo mengine mbwembwe tu!!
 
Kakamia Noma sana
tuache kukamia dada zetu jamani, :frusty: unaweza kuchemka mbaaayaaa
 
Kaizer kama DEMBA anabisha aje akanushe hapa nimuumbue. Nilinasa mawasiliano yake ya emails na simu akijadiliana na mwallu
 
Last edited by a moderator:
Pasipo shaka nasema umezileta hizi habari hapa baada ya kusikia tena toka kwa secondary source. Habari haijasimama yenyewe hata kidogo hasa kwa upande wa kitaalam. Uhusiano ni upi kati ya dawa ya kurefusha uume na kupata "K" ili awe rescued, labda dawa ya kuongeza nguvu za kiume. Mishipa ya uzazi ndo nini? hata hivyo kama unamaanisha tunachohisi uhusiano upo wapi na kuunyong'onyeza uume?
 
Back
Top Bottom