Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,075
- 6,774
Old moshi nimechaguliwa pcb mazngira vp ufaulu tuelezane
it reflects the name it self, ni old kwelikweli miaka ya ukoloni ilianzishwa, waalimu wengi balaa, pembeni chuo cha police, mita kama 100 hivi unapata chuo kikuu ushirika, usome kwa juhudi pcb ukimaliza uhamie kcmc udaktar maana ni jiran tu unaenda kwa miguu