MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

Wakuu Ifakara girls papoje,interms of teachers,ufaulu,n.k,mdogo wangu kachaguliwa huko!
 
haya wale wazee wa Mzumbe tukutane hapa, mi nimwenyeji pale
 
Kwa wale wanaoifahamu vizuri Arusha girls secondary school naomba mnipe taarifa zake,Combinations,maingira ya shule,umbali kutoka AR center,walimu na historia za ufaulu.Natanguliza shukurani.
 
mpaka sasa watu wengi tumeshafaham wap tumepangiwa,xo ni vzur kama tungejuzana majina yetu, shule tulzopangiwa na comb.
 
jamani....kwa wale wa lulumba.secondary school...tukutane.....pia...
pia naomba kujua ..mazngira walimu....ufaulu.....na other social services
 
duuh hii tamisemi sitosahau ilichonifanyia 30/6/2015,maisha yangu yote sikutegemea kusoma HGE, nilitegemea PCB sasa sina hamu tena Ufaulu wangu nina B+ za phys,maths,chem,bios,kiswah,english,na B za civs,hist,geography na G.P.A ya 3.9
 
MSAADA. naweza hama shule?, kwa wale wazoefu utaratibu ukoje?. natanguliza shukuran
 
Tafadhali naomba msaada. nichekieni anko wangu jina Endrew Mwijumbe. jina la shule aliyohitimu kidato cha nne Mtera Secondary School. namba yake S.1202/0046.

33045S1202/0046MAndrew--MwijumbeS1202MteraHGKMsamalaSongea-(m)R
 
duuh hii tamisemi sitosahau ilichonifanyia 30/6/2015,maisha yangu yote sikutegemea kusoma HGE, nilitegemea PCB sasa sina hamu tena Ufaulu wangu nina B+ za phys,maths,chem,bios,kiswah,english,na B za civs,hist,geography na G.P.A ya 3.9

Usikate tamaa, unaweza kubadilisha pindi tu utakaporipoti shule uliyopangiwa.Pia kama katika shule uliyopangiwa hamna PCB waweza omba kuhama.Lakini hata ukisoma HGE sio mbaya ili mradi uwe umeridhika nayo,kwani pia mimi nilisoma HGE.
 
Nahisi Muda wa kusaidia watu umefika
Mwaka ulopita tulifanikiwa kusaidia japo Ilikua kwa uchache
Niulize kuhusu shule zifuatazo
Mara secondary
Musoma technical
Songe secondary
Chief ihunyo sec
Kibondo girls
Isimila
Loleza
Benjamin William mkapa
Iringa girls
Na maswa girls
Karibuni sana
Namba yangu ya sim ni
 
Back
Top Bottom