MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,351
WAHITIMU+wa+kidato+cha+nne+Sekondari+ya+Mwaru+wakisakata+muziki+wa+Hip+hop+kwenye+mahafali+yao+leo+mchana+shuleni+kwao.JPG


Serikali imetoa leo orodha rasmi ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano pamoja na Shule walizopangiwa.

Kutokana na wengi kuulizia mazingira ya shule walizopangiwa na kuanzisha nyuzi za kukutana kwa ajili ya kufahamiana, nimeona ipo haja ya kuwa na uzi mmoja ambao utawakutanisha wanafunzi walichaguliwa pamoja na wazoefu wengine, pengine hata walimu.

Katika uzi huu tutajadili mambo mbalimbali kama namna ya kufika shuleni, mazingira ya shule na maeneo yanayozunguka, mchepuo anaoenda kusoma mwanafunzi pamoja na kufahamiana kwa ujumla.

Ni matumaini yangu kuwa uzi huu utakuwa na manufaa niliyoyakusudia.

Hongereni mliochaguliwa kujiunga na Shule za Serikali mwaka 2015!
 
Naomba kujua katika shule tajwa hapo juu kuna tahasusi(combination) zipi?
 
ebhana wadau 2liopangiwa kigoma sekondary 2kutane hapa kwa ushauri na hata wapo wanaoxom huko tujuzane hali halixi jinx ilivyo na mazingira kwa ujumla
 
Karibuni Sana mm ndo ntakuwa mwenyeji wenu coz nimechaguliwa shule ya wilayani kwangu
 
Naulizia songea girls kuna Ndugu yangu kapangiwa EGM.wapi nitapata fomu zao
 
Uliza Swali Lolote Kama Umechaguliwa Lugoba Sec. Wilaya YA Bagamoyo Mkoa Wa Pwani.
 
jamaniii walio pangiwa lulumba secondary tujuane jamani.......
au aliyesoma hapo atujuze kidogo pakoje
 
Naomba unipe details kuhusu mazingira ya shule

Shule ipo Mlandizi......kama km 1.5 kutoka Stand.......ina wanafunzi mchanganyiko kike na kiume kwa form 1 na 4......kwa kidato cha 5 inachukua watt wa kiume tu....ina walimu wa kutosha na ina maabara za kutosha navifaa vyake kwa masomo ya sayansi.....
 
wadau msaaada plz naitaj joining instruction kigoma sekondari kwa kidato cha tano au yeyote mwenye namb ya mkuu wa xhule ani2mie kipitia hii no 0687437852
 
Back
Top Bottom