MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

thubutuuu!msikiti ukajengwe wapi pale ktk eneo la Mjerumani lile?
By the way,pale juu ukitoka bweni la mtandi,karibu na lile hall la mv bukoba kuna jengo walilopewa kusujudia huyo Mungu wao wanaomfahamu na ndio maana wakatengwa mbali na wenzao.

umeenda lini ndanda?? lile jengo la mskit limejengwa vzr na lile jengo la uwanja wa netbal wanaofanyia mazoez wale ma dada wa ufund wanajenga frem za salun; duka na fundi nguo na pale mka house wamegewa walimu co wafnyakaz wa benk
 
Shule ipo Mlandizi......kama km 1.5 kutoka Stand.......ina wanafunzi mchanganyiko kike na kiume kwa form 1 na 4......kwa kidato cha 5 inachukua watt wa kiume tu....ina walimu wa kutosha na ina maabara za kutosha navifaa vyake kwa masomo ya sayansi.....

Kati ya kilangalanga na minaki unaipendekeza ipi?
 
Mwenye kutaka kujua details za shule ya Mkolani High School na Tabora Boys High School aniquote hapa nitatoa maelezo na maelekezo

Karibu
 
Oi wadau mimi nimechaguliwa kwenda MIST chuo kipo arusha je kunamwingine na yeye kachaguliwa huko
 
Mdogo wangu amepangwa Mawenzi Secondary iliyopo Chunya Mkoani Mbeya mchepuo wa CBG. Ningependa kujua namna bora ya kufika huko na kama mazingira ya shule ni mazuri kujifunzia, kama ina walimu kwa mchepuo huo na maabara kama yapo. Asante
 
Habari,
Naitwa ZABRON AMON mhitimu wa kidato cha nne shule ya MOYOWOSI SEKONDARI.
Nimepangiwa shule ya MALAGARASI SEKONDARI inayopatikana hapahapa wilayani Kibondo.
Kwa wenzangu wote mliobahatika kupangiwa shule nawapeni hongera sana.
Kwa maelezo hayo namaanisha kuwa nimepangiwa shule ya wilayani kwangu kwa hiyo, kwa kiasi fulani, ninao uzoefu kidogo kuhusu shule hiyo
hivyo basi; kama kuna mwenzangu ambaye amepata Bahati ya kuchaguliwa shule hii (Malagarasi) au shule yoyote katika wilaya ya kibondo, ningeomba a-reply post hii anieleze kisha nimpe machache juu ya shule hii (hizi)

Au iwapo kuna hata mmoja wetu aliyesoma au anayesomea shule hii (A-LEVEL) Ningeomba mawasiliano yake kama hatojali.
Watanzania wote ni ndugu, Karibuni tuudumishe mshikamano
 
Kwanza tumshukuru Mungu kwa selection zetu kuwa nzuri hivyo basi tunaowakilisha mzumbe tushare experinces kama Joining instructions etc. Karibuni
 
Back
Top Bottom