MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

ipo vzur xana ktaaluma! ila n vigumu kubadl toka art to science,pia ni ya mchanganyko wa jinsia
 
mm naijua ipo tukuyu wilaya ya rungwe ni mchanganyiko

Shule ipo kilomita 60 kutoka tukuyu mjini, ni mchanganyiko yaani advance ni boys tupu, ila o level ni mchanganyiko, ndo kijiji alichozaliwa mh Mark Mwandosya, mazingira ni mazuri sana, maji umeme vipo, kipindi hicho kulikuwa na changamoto ya walimu sijui kwa sasa.
 
Namuwakilisha dogo aisee, anatoka Glenrose girls anaenda Bwiru girls CBG Mwanza, c iko vizuri au
 
Hakuna shule nzuri kama shule niliyosoma mimi njombe boyz high school mliochaguliwa mtaipenda tu.cha muhimu ni kufuata sheria za shule ukiwa pale.ni raha sana kuishi pale kwani kuna mambo meng ya kujifunza na kufanya.EDUCATION IS LIBERATION ths is our motto.
 
shule iko poa sana,,,, n ya boyz na girlz,,,, mazngira ya kusoma very interesting,,, iko karb na mji wa Magu,,, kwa PCB iko vzur saana
 
Nahisi Muda wa kusaidia watu umefika
Mwaka ulopita tulifanikiwa kusaidia japo Ilikua kwa uchache
Niulize kuhusu shule zifuatazo
Mara secondary
Musoma technical
Songe secondary
Chief ihunyo sec
Kibondo girls
Isimila
Loleza
Benjamin William mkapa
Iringa girls
Na maswa girls
Karibuni sana
Namba yangu ya sim ni
0719749032 au 0686432880
Na 0758964840

Ndg Dogo Langu Anaenda Isimila Plz Naomb Niambie Ikoje? Mazngra, Walmu, Sare, N Mchanganyko Au?
 
Hakuna shule nzuri kama shule niliyosoma mimi njombe boyz high school mliochaguliwa mtaipenda tu.cha muhimu ni kufuata sheria za shule ukiwa pale.ni raha sana kuishi pale kwani kuna mambo meng ya kujifunza na kufanya.EDUCATION IS LIBERATION ths is our motto.

naweza kufanya uwamisho kuja njombe kwani nimepangiwa bweru sec comb PCM in rukwa,shule iko mbali sana sa nahiji soma njombe na ndo nlivyokuw natarajia mkuu
 
kwa anayeijua kalangalala anipe information availability ya material ikoje na jnc ya kupata joinng instruction
 
Na0mba anayeifaham shule ya sekondar benjamin w mkapa ya dsm anipe detail zake plz
 
ebhana kwa aneyeifahamu kigoma sekondari tufahamishane basi kuna michepuo hipi na vipi kuhusu waalimu je wapo wa kutosha na kuhusu mazingira kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom