Dr Kantangaze
Senior Member
- Jul 3, 2014
- 127
- 83
mi nmechaguliwa kwiro boys CBG ila sijui ntapataje joining instruction form, niko kgoma anaeijua kwiro vzuri anisaidie.
Kwiro boys high school shule ipo mkoani Morogoro katika wilaya ya Ulanga, utakapo fika Morogoro unapanda Mabasi yaendayo Mahenge, na kutoka stendi mahenge mpaka shuleni ni kama 1km ivi ambapo kwa bodaboda ni buku tu inakupeleka mpaka shuleni.